Kig
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 1,076
- 457
natafuta shamba kwa ajili ya kupanda miti mkoa wa Iringa, njombe, ruvuma na mkoa ya jirani na hii. Anayejiona ni muuzaji halali wa shamba aniPM
Kabla hujawasiliana na mimi Hakikisha shamba lako halina mgogoro na mtu au kikundi cha watu au serikali. mauziano yatafanyika mbele ya ushahidi wa serikali ya mtaa, ndugu wa muuzaji. Mwanasheria ndie ataandaa mkataba wa mauziano na atakuwa shahidi pia. Matapeli mkae pembeni maana huwa sina uvumilivu kwa mtu anayenitapeli. Tusije tukalaumiana bure.