Anayeuza line ya Tigo Pesa inahitaji

Gondwe

JF-Expert Member
May 30, 2014
235
170
Habari za majukumu wana JF? Kama kuna mtu anauza line ya TIGO PESA ani-PM tufanye kazi. Asante
 
Naomba niulize maana matangazo kama haya yamekuwa mengi humu jf.
Hivi line hizo si huwa zinasajiliwa na hayo makampuni kwa MTU binafsi kwa ajili ya usalama wa Pesa zake?
Sasa kuna ugumu gani kwenda kuomba uwakala kwao hadi bei ziwe bargaining mtaani namna hii? Na jee ukinunua mtaani na ukawekeza fedha nyingi usalama ukoje kama hitlafu imetokea?
 
Ninauza Laini za wakala m-pesa,tigopesa na airtel money kwa bei nafuu,kwabmahitaji wasiliana na 0712567954
 
Back
Top Bottom