Anayeuza line ya Tigo Pesa inahitaji

Anayeuza line ya Tigo Pesa inahitaji

Naomba niulize maana matangazo kama haya yamekuwa mengi humu jf.
Hivi line hizo si huwa zinasajiliwa na hayo makampuni kwa MTU binafsi kwa ajili ya usalama wa Pesa zake?
Sasa kuna ugumu gani kwenda kuomba uwakala kwao hadi bei ziwe bargaining mtaani namna hii? Na jee ukinunua mtaani na ukawekeza fedha nyingi usalama ukoje kama hitlafu imetokea?
Kwenda kwenye company ni salama zaid kama utakua na vigezo vyote, ila ndo inachukua mda mrefu kupata line tofaut na mtaan unapata hapo kwa papo na jina la line litabadilishwa kama ukitaka kuwa katika jina lako
 
Ninazo line zote, tigo, airtel na Voda kwa 250,000/= kila moja
 
Mimi naitaji ya airtel money kwa 50 elf tsh tuh.
 
Naomba niulize maana matangazo kama haya yamekuwa mengi humu jf.
Hivi line hizo si huwa zinasajiliwa na hayo makampuni kwa MTU binafsi kwa ajili ya usalama wa Pesa zake?
Sasa kuna ugumu gani kwenda kuomba uwakala kwao hadi bei ziwe bargaining mtaani namna hii? Na jee ukinunua mtaani na ukawekeza fedha nyingi usalama ukoje kama hitlafu imetokea?
hakuna shida yoyote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom