Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,664
Pamoja na kwamba tabia za kila aina zipo katika kila kundi na kabila, lakini uchunguzi wangu wa muda mrefu umenishawishi kwamba wanawake walimu ni waadilifu zaidi kulinganisha na makundi mengine.
Sasa anayetaka mke mwalimu aende jukwaa la elimu kwenye uzi wowote unaohusu ajira za ualimu, kumgundua kama ni mwalimu, utaona jinsi anavyolalama kuhusu ajira. Kumgundua kama ni mwanamke - akili zako changanya na za kupewa.
Najua nitakuwa nimesaidia wengi sana.
Note: Munkari msimguse nitampm muda si mrefu.
cc: mimi49, Heaven on Earth, farkhina

Last edited by a moderator: