Hivi mmevutiwa na ile kauli mbiu kuwa rudi nyumbani kumenoga au ni uzalendo wa kupitiliza?
Kuna tofauti gani ya ttcl na tbc kwenye suala la huduma?
Anyway najua punguzo la bando ndio ulimbo uliowanasa na mwisho wa siku ndio hivyo mnateseka.
Kwa upande wangu naona hapa tz mtandao ambao huwa unaitendea haki hiyo 4G ni mmoja tu japo ni ghali lkn speed na utendakazi wake unavutia. Mnaujua!!!!