Hawa TTCL mimi binafsi sijawahi kuwaamini hata siku moja,nimenunua SIM card yao nimeitupa tu magetoni.
Pole sana. Komaa na mtandao wako hapo mwerevu atajisogeza panapomfaaww huoni Aibu kujua mambo ya mtandao ambao haukuhusu?
Mimi naipata,tena fast.Mimi kwangu naona kwa sasa inasoma Roming tu, sijaona 4G kwa miezi kadhaa sasa na niko dar es salaam tena posta mpya hiyo roming ukitoa ndio balaa hata watsap haiwez kuingia
Mimi nautumia,internet ni fast na hata voicemail ni nzuri.I like it,ila messaging including USSB messaging bado kuna shida.tccl ni wababaishaji tu,,wanategemea nguvu ya dola..hata wabunge wa cccm hawatumii huo mtandao
Hii takataka ni ya kufyekelea mbaliNapata H+ ambayo ni mwendo wa kobe na inaduma kwa less than 2min inadrop to E then mtandao unapotea kabisa,,nimeiweka kando sasa
Mzee hama bush uko
View attachment 938026
Mimi nautumia,internet ni fast na hata voicemail ni nzuri.I like it,ila messaging including USSB messaging bado kuna shida.