Anayepata 4G ya TTCL anyoshe kidole

Anayepata 4G ya TTCL anyoshe kidole

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
8,237
Reaction score
8,530
Mimi kwangu naona kwa sasa inasoma Roming tu, sijaona 4G kwa miezi kadhaa sasa na niko dar es salaam tena posta mpya hiyo roming ukitoa ndio balaa hata watsap haiwez kuingia
 
Napata H+ ambayo ni mwendo wa kobe na inaduma kwa less than 2min inadrop to E then mtandao unapotea kabisa,,nimeiweka kando sasa
 
Sijawahi kutumia huduma zao ngoja nikasajili kesho laini yao nije kutoa ushuhuda.
 
Hawa TTCL mimi binafsi sijawahi kuwaamini hata siku moja,nimenunua SIM card yao nimeitupa tu magetoni.
 
Hakuna 4G nzuri kama ya ttcl,mkuu simu yako itakuwa ina matatizo!!

Simu yangu ni samsung note 8 single line, nikiweka hallotel au vodacom ni hatari kama niko korea ila kwa ttcl mmh sijui ni nn and why inaroam kila time nimejaribu kuuliza huduma kwa wateja hata wao hawajui
 
Back
Top Bottom