acha kujizima data. Waliotangaza kuhusu nida na guest ni nani? Au ulikuwa hujazaliwa ndo maana hukusikia. Hayo ni majaribu sasaHuyo anaekukamata ni nani? Pilisi,uhamiaji au? Kwa kosa gani? Kuna sheria siku hizi lazima utembee NID card?
acha kujizima data. Waliotangaza kuhusu nida na guest ni nani? Au ulikuwa hujazaliwa ndo maana hukusikia. Hayo ni majaribu sasaHuyo anaekukamata ni nani? Pilisi,uhamiaji au? Kwa kosa gani? Kuna sheria siku hizi lazima utembee NID card?
Nilitaka nishangae,eti gagula leo kaitwa mtoto wa kishua,safi kwa good explanation....#Gagula...Hapo " Kuku wa kienyeji" Nimemaanisha watoto wa 2006-2008 mkuu na haina maana Mimi wa kishua.. Hakuna thread hata moja humu jukwaani niliyo post nikimaanisha Mimi wa kishua.. Na toka uswazi haswa nyumba mganga nyumba mchawi.
Wewe mhenga inaokena una concept ya " Kuku wa kienyeji" Kumaanisha demu wa uswazi kama alivyo sema Mwana FA kwenye " Hii Leo".
Misamiati ime change sana mkuu. Siku hizi hata kwenye ngumi jamaa anakwambia " YAKANYAGE" . Zamani mlikuwaga mnaambiwa " LIANZISHE"
Safi sana,kwa kutumia kondomu,""RAHA TUNAPATA NA UKIMWI HAUENEI""Kondomu si zipo mkuu?
Aidha ulikuwa unadarizi mitandaoni ukatukana nayo, au ulipita pale miaka mitatu iliyopita ukaliwa na hela ya nauli na kutolea.....
Inaonekana hiko kiwanja kilishakufa miaka mitatu iliyopita kama kawaida ya bongo, kunavuma halafu kwishnei
View attachment 3635717
View attachment 3635718
View attachment 3635719
View attachment 3635720
Mizunguko kibao ya nini mwamba? Toa location mtu akajichotee gono lake una hasara Gani?Shida ya hao magonjwa ya zinaa ndio kwao upo tayari?
Kwa akili hizi mtapigwa sana. Hamjitambui.acha kujizima data. Waliotangaza kuhusu nida na guest ni nani? Au ulikuwa hujazaliwa ndo maana hukusikia. Hayo ni majaribu sasa
wanyoko agetene yaan nakueleza ilivyo una sema akili, maanake ninKwa akili hizi mtapigwa sana. Hamjitambui.
Kwa akili hizi mtapigwa sana.wanyoko agetene yaan nakueleza ilivyo una sema akili, maanake nin
jf mtu akiwapa taarifa ya ukweli huyo automatically ni adui si ndio unaamisha hivyoKwa akili hizi mtapigwa sana.
Najua maana yake ndio maana nikasema humu wengi wa kishua hamkai kwetu Tandale au Keko kwa mfuga mbwa, ndio maana siku moja moja mnawamiss dada zetu wa kitaaHajui kwamba " Kuku wa kienyeji" Maana yake mademu wa uswazi " Mademu asilia wasio vaa mawigi"