Anayepajua vizuri Manyossa Swimming Pool and Pub afunguke

Anayepajua vizuri Manyossa Swimming Pool and Pub afunguke

Aidha ulikuwa unadarizi mitandaoni ukatukana nayo, au ulipita pale miaka mitatu iliyopita ukaliwa na hela ya nauli na kutolea.....
Inaonekana hiko kiwanja kilishakufa miaka mitatu iliyopita kama kawaida ya bongo, kunavuma halafu kwishnei

1784849731982.png

1784849762147.png

1784849792139.png

1784849852660.png
 
kadi ya mpiga kura lazima awe na namba ya simu inayoendana majina which means uwe na namba za nida lakin kama hauna totally tayarisha 300k
Huyo anaekukamata ni nani? Pilisi,uhamiaji au? Kwa kosa gani? Kuna sheria siku hizi lazima utembee NID card?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom