Anayekutawala amekuzidi Akili

Anayekutawala amekuzidi Akili

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
34,192
Reaction score
79,677
ANAYEKUTAWALA AMEKUZIDI AKILI

Anaandika, Robert Heriel.
Mtibeli.

Ukiona mtu amekuzidi na kukutawala kisiasa, kiuchumi, kijamii au kiteknolojia basi fahamu kabisa mtu au jamii hiyo imekuzidi Akili.

Akili ndio inayotawala mambo yote duniani. Ili upewe Mamlaka na nguvu basi lazima uwe na akili kuwashinda wengine hasa hao unaowatawala.

Kijinsia, Mwanaume anaakili kuliko Mwanamke ndio maana anamtawala. Ingawaje zipo siasa na porojo za kuwafariji wanawake kuwa wanaakili kuwashinda wanaume lakini kiuhalisia Mwanaume anaakili zaidi kuliko Mwanamke. Ndio maana Mwanaume anamtawala Mwanamke.

Kijamii, Wazungu na jamii zao wanaakili kushinda Waafrika, na Waarabu na wachina na jamii zingine. Ndio maana wazungu miaka nenda rudi wanatawala huu ulimwengu.

Kuna ile kujidanganya kuwa utawala ni majaliwa lakini hata hiyo akili yenyewe ni Majaliwa. Kila kitu kwenye maisha ni Majaliwa.

Wanyama wa porini tunawatawala kwa sababu ya sisi kuwashinda kiakili.
Huwezi tawala kitu ambacho kimekuzidi Akili hiyo haiwezekani na haitakuja kutokea.

Elewa kuwa wewe unaakili nyembamba au ndogo ndio maana unatawaliwa, na ndio maana wewe sio mtawala. Ingawaje unaweza na unaruhusiwa kujifariji kuwa umewazidi waliokutawala akili hiyo haibadilishi chochote kuwa wewe kiakili upo Chini.

Kama nitaulizwa ni kwa nini CCM mpaka leo inatawala mpaka leo basi moja kwa moja nitakuambia kuwa CCM inaakili kuliko vyama vingine. Yaani Watu wa ccm(inawezakuwa isiwe wote) wanaakili kuliko vyama vingine.
Haiwezekani kila mpambano na kila uchaguzi CCM ishinde tuu. Hiyo ni kuonyesha kuwa wanaakili kuwashinda wapinzani wao.

Watu wajinga hupenda kutoa visingizio katika kushindwa au pale wanaposhindwa na wenye Akili.
Sijui polisi, sijui wanatumia vyombo vya Dola, sasa kwa nini ninyi msitafute akili ya kupata ushawishi kwenye hivyo vyombo vya Dola kama mnajua kuwa kuna wakati ili mpate ushindi basi vyombo vya dola vinaweza kuwasaidia. AKILI.

Unakuta mtu anajiona anaakili kuliko Boss wake. Mpaka unamshangaa. Hiyo ni dalili ya kuchanganyikiwa. Huwezi kuwa na akili zaidi ya mtu ambaye amekuzidi na amekutawala katika uchumi alafu useme unamzidi akili za uchumi.

Kwenye Vita baina ya Israel na Palestina, watu wajinga na wenye upeo mdogo wanakataa kuwa Israel haina Akili na utawala wake unatokana na Kusaidiwa na Marekani. Yaani kama sio Marekani basi Israel haiiwezi Palestina na Waarabu. Unakuja kugundua kuwa wanaosema hivyo upeo wao upo chini katika kuyachambua mambo.

Hawajiulizi mbona Ukraine inasaidiwa na Marekani, na nchi za Nato lakini Inashindwa mbele ya Urusi. Hawajiulizi hivyo kwa sababu hawajui kuwa Akili ndogo haiwezi kuishinda akili kubwa.
Urusi ni akili kubwa hivyo inapokutana na Ukraine hapo ni lazima Ukraine ashindwe tuu bila kujali huyo Ukraine atasaidiwa na Marekani au Nato.

Wewe kama unajua ili ushinde unatakiwa ufanye moja mbili tatu. Kwa nini usifanye hizo moja mbili tatu.
Mshindani wako akikushinda unaleta visingizio.
Ooooh! Fulani kaenda kwa waganga wa kienyeji, sijui anauza madawa ya kulevya, ndio maana anapesa, pesa za wizi zile.
Hivi kwa ujinga wako unafikiri hata huo Wizi au kuuza madawa ya kulevya hakuhitaji AKILI?

Nenda nawe ukauze au kaibe ili ujue huyo mwenzako amekuzidi Akili na atakutawala kwa ufinyu wa akili yako.

Elewa kuwa Akili ni akili tuu. Bila kujali ni Akili ya uadilifu au akili ya uhalifu. Kutawaliwa ni kutawaliwa tuu iwe unatawaliwa kwa Haki au kwa haramu.

Jambo moja nalotaka kusema ni kuwa, ukishindwa kubali umeshindwa, kukubali kushindwa ni mwanzo wa kujitambua na unaweza kujua wapi pakuanzia.
Lakini kujifanya unauwezo wakati uwezo huo huna na kama ungekuwa nao usingeshindwa ni dalili ya kutojitambua.

Mimi nimemaliza,

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
Dhana ya kutawaliana sidhani kama ina mahusiano na high intelligence.

imewahi tawala sehemu kubwa duniani mpaka baadhi ya maeneo ya ulaya, waafrika/watu weusi wamewahi kutawala maeneo ya ulaya, waarabu wamewahi kutawala mpaka maeneo ya ulaya wazungu nao wamefanya hivyo.

Swala la akili nyingi lipo beyond kutawaliana.

Jamii za watu wenye akili nyingi kwa mujibu wa tafiti za kimataifa zinaongozwa na hawa wachina, wajapan na wakorea halafu hao wengine ndio wanafuatia ikiwemo sisi
 
Una mzidi kwa hila za hapa na pale si wacha nature iamua sio unam
Nyima mwenzako kumilika silaha ili awe mnyonge wako halafu unajisifia kuja kumtawala
 
Huo uwezo wa kumnyima silaha ndio akili zenyewe.
Kama Watu wangeacha Nature iamue Watu wasingerusha ndege angani au kutembea na meli baharini.
Wajinga ndio huwa na mawazo kama hayo.
 
Kuna vitu vingi vinavyohusika katika kutawala zaidi ya akili. Kama ilivyo katika kuoa, haiangaliwi sura pekee. Akili pekee haiwezi kutawala, vivyo hivyo hata hekima haingaliwi peke yake. Ili uweze kuongoza inabidi uwe na sifa kadhaa zinazofaa.
Robert Heriel Mtibeli

Akili ndio sifa namba moja na nguzo ya kutawala chochote kile.
Hata kwenye ndoa unaambiwa ishi kwa akili na mkeo kwani bila hivyo huwezi kumtawala.

Vigezo vingine ni Minors
 
Dhana ya kutawaliana sidhani kama ina mahusiano na high intelligence.

imewahi tawala sehemu kubwa duniani mpaka baadhi ya maeneo ya ulaya, waafrika/watu weusi wamewahi kutawala maeneo ya ulaya, waarabu wamewahi kutawala mpaka maeneo ya ulaya wazungu nao wamefanya hivyo.

Swala la akili nyingi lipo beyond kutawaliana.

Jamii za watu wenye akili nyingi kwa mujibu wa tafiti za kimataifa zinaongozwa na hawa wachina, wajapan na wakorea halafu hao wengine ndio wanafuatia ikiwemo sisi

Huwezi tenganisha Akili na utawala.
Uwezo wa kujitawala unaenda sambamba na uwezo wa akili.
Uwezo wa kutawala Watu na kutawala mazingira unaenda sambamba na Akili.

Ukiona unashindwa kujitawala an kutawala mazingira yake hiyo ndio tafsiri ya kuambiwa unaupeo mdogo sana wa Akili.
 
ANAYEKUTAWALA AMEKUZIDI AKILI

Anaandika, Robert Heriel.
Mtibeli.

Ukiona mtu amekuzidi na kukutawala kisiasa, kiuchumi, kijamii au kiteknolojia basi fahamu kabisa mtu au jamii hiyo imekuzidi Akili.

Akili ndio inayotawala mambo yote duniani. Ili upewe Mamlaka na nguvu basi lazima uwe na akili kuwashinda wengine hasa hao unaowatawala.

Kijinsia, Mwanaume anaakili kuliko Mwanamke ndio maana anamtawala. Ingawaje zipo siasa na porojo za kuwafariji wanawake kuwa wanaakili kuwashinda wanaume lakini kiuhalisia Mwanaume anaakili zaidi kuliko Mwanamke. Ndio maana Mwanaume anamtawala Mwanamke.

Kijamii, Wazungu na jamii zao wanaakili kushinda Waafrika, na Waarabu na wachina na jamii zingine. Ndio maana wazungu miaka nenda rudi wanatawala huu ulimwengu.

Kuna ile kujidanganya kuwa utawala ni majaliwa lakini hata hiyo akili yenyewe ni Majaliwa. Kila kitu kwenye maisha ni Majaliwa.

Wanyama wa porini tunawatawala kwa sababu ya sisi kuwashinda kiakili.
Huwezi tawala kitu ambacho kimekuzidi Akili hiyo haiwezekani na haitakuja kutokea.

Elewa kuwa wewe unaakili nyembamba au ndogo ndio maana unatawaliwa, na ndio maana wewe sio mtawala. Ingawaje unaweza na unaruhusiwa kujifariji kuwa umewazidi waliokutawala akili hiyo haibadilishi chochote kuwa wewe kiakili upo Chini.

Kama nitaulizwa ni kwa nini CCM mpaka leo inatawala mpaka leo basi moja kwa moja nitakuambia kuwa CCM inaakili kuliko vyama vingine. Yaani Watu wa ccm(inawezakuwa isiwe wote) wanaakili kuliko vyama vingine.
Haiwezekani kila mpambano na kila uchaguzi CCM ishinde tuu. Hiyo ni kuonyesha kuwa wanaakili kuwashinda wapinzani wao.

Watu wajinga hupenda kutoa visingizio katika kushindwa au pale wanaposhindwa na wenye Akili.
Sijui polisi, sijui wanatumia vyombo vya Dola, sasa kwa nini ninyi msitafute akili ya kupata ushawishi kwenye hivyo vyombo vya Dola kama mnajua kuwa kuna wakati ili mpate ushindi basi vyombo vya dola vinaweza kuwasaidia. AKILI.

Unakuta mtu anajiona anaakili kuliko Boss wake. Mpaka unamshangaa. Hiyo ni dalili ya kuchanganyikiwa. Huwezi kuwa na akili zaidi ya mtu ambaye amekuzidi na amekutawala katika uchumi alafu useme unamzidi akili za uchumi.

Kwenye Vita baina ya Israel na Palestina, watu wajinga na wenye upeo mdogo wanakataa kuwa Israel haina Akili na utawala wake unatokana na Kusaidiwa na Marekani. Yaani kama sio Marekani basi Israel haiiwezi Palestina na Waarabu. Unakuja kugundua kuwa wanaosema hivyo upeo wao upo chini katika kuyachambua mambo.

Hawajiulizi mbona Ukraine inasaidiwa na Marekani, na nchi za Nato lakini Inashindwa mbele ya Urusi. Hawajiulizi hivyo kwa sababu hawajui kuwa Akili ndogo haiwezi kuishinda akili kubwa.
Urusi ni akili kubwa hivyo inapokutana na Ukraine hapo ni lazima Ukraine ashindwe tuu bila kujali huyo Ukraine atasaidiwa na Marekani au Nato.

Wewe kama unajua ili ushinde unatakiwa ufanye moja mbili tatu. Kwa nini usifanye hizo moja mbili tatu.
Mshindani wako akikushinda unaleta visingizio.
Ooooh! Fulani kaenda kwa waganga wa kienyeji, sijui anauza madawa ya kulevya, ndio maana anapesa, pesa za wizi zile.
Hivi kwa ujinga wako unafikiri hata huo Wizi au kuuza madawa ya kulevya hakuhitaji AKILI?

Nenda nawe ukauze au kaibe ili ujue huyo mwenzako amekuzidi Akili na atakutawala kwa ufinyu wa akili yako.

Elewa kuwa Akili ni akili tuu. Bila kujali ni Akili ya uadilifu au akili ya uhalifu. Kutawaliwa ni kutawaliwa tuu iwe unatawaliwa kwa Haki au kwa haramu.

Jambo moja nalotaka kusema ni kuwa, ukishindwa kubali umeshindwa, kukubali kushindwa ni mwanzo wa kujitambua na unaweza kujua wapi pakuanzia.
Lakini kujifanya unauwezo wakati uwezo huo huna na kama ungekuwa nao usingeshindwa ni dalili ya kutojitambua.

Mimi nimemaliza,

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Hii ni kweli kwa utawala wowote ulio wa HAKI.

Bali ulimwenguni zipo tawala nyingi za MABAVU na zile zilizotokana na FURSA/UPENDELEO/KURITHISHANA. Kwa tawala za jinsi hii hata kama watawaliwa wana akili kuzidi watawala, hawana budi KUUFYATA kwa kuhofia madhara..
 
Huwezi tenganisha Akili na utawala.
Uwezo wa kujitawala unaenda sambamba na uwezo wa akili.
Uwezo wa kutawala Watu na kutawala mazingira unaenda sambamba na Akili.

Ukiona unashindwa kujitawala an kutawala mazingira yake hiyo ndio tafsiri ya kuambiwa unaupeo mdogo sana wa Akili.
Kutawala ni mabavu tena katika mtindo unao zungumzia wewe ni mbaya zaidi.

Mtu yoyote anaweza kutumia mabavu ili kutimiza adhima yake kuu naweza kuja na panga kwako nikakuua wewe na mkeo alafu nikawaweka kinguvu wanao katika himaya yangu.

Ukoloni wa kale, utumwa na uporaji wa ardhi hii ni mitindo ya kimabavu haitafsiri uwezo wa kiakili wa mtu zaidi ya uwezo wa kimabavu wa mtu.
 
Kama mabavu yangekuwa yanatawala basi wanyama kama tembo na faru wangetawala hii dunia.

Alafu mtu anaweza kuwa na panga akaja kwako lakini wewe ukawa na Bastola ambayo ukivuta tuu kidole mtu anapasuka kichwa.

Hao wanaotumia mapanga ndio haohao wanaotumikishwa miaka nenda rudi.

Elewa kuwa mabavu bila akili ni kama punda tuu.
 
Hii ni kweli kwa utawala wowote ulio wa HAKI.

Bali ulimwenguni zipo tawala nyingi za MABAVU na zile zilizotokana na FURSA/UPENDELEO/KURITHISHANA. Kwa tawala za jinsi hii hata kama watawaliwa wana akili kuzidi watawala, hawana budi KUUFYATA kwa kuhofia madhara..

Ukishakuwa na akili moja kwa moja utajua namna ya kukabiliana na hali hizo
 
Back
Top Bottom