Sina kumbukumbu sana ila watu walikua suprised Shein kuteuliwa na Mmakua ila waliokuwa wanapigiwa upatu sana Alikua Dr Salim Ahmed Salim na Abdulkadir Shareef...
Labda kama ratiba imebadilishwa.
Hata swala la malamu kurith urais, mara ya kwanza ilikua kama akirith kiti cha urais ikiwa imebaki miezi 18 au miaka miwili basi atamalizia muhura, ili kabla ya hspo angetakiwa kuitisha uchaguzi baada ya miezi mitatu.
Shein hata mimi sikumbuki kama aliapishwa kwa MsekwaNakumbuka Mkapa alitangaza Tu na kumuapisha..
Mara baada ya kifo cha ghafla cha aliekuwa Makamu wa Rais wakati huo Dr Omary Ally Juma.
Aliteuliwa Dr Mohamed Shein kushika wadhfa huo...mnakumbuka ilikuwaje?
Alipigiwa kura bungeni?
Au aliteuliwa na kuapishwa?
Anaekumbuka naomba atukumbushe
Alithibitishwa na Bunge baada ya Rais kupeleka jina lakeMara baada ya kifo cha ghafla cha aliekuwa Makamu wa Rais wakati huo Dr Omary Ally Juma.
Aliteuliwa Dr Mohamed Shein kushika wadhfa huo...mnakumbuka ilikuwaje?
Alipigiwa kura bungeni?
Au aliteuliwa na kuapishwa?
Anaekumbuka naomba atukumbushe
Ndio na Lipumba akasema ameshangaa kwani hakuwahi msikia Shein KablaNakumbuka Mkapa alitangaza Tu na kumuapisha..
Rais lazima ateuwe makamu wa rais ndani ya siku 14 tokea kiti cha makamu wa rais kuwa wazi. Hakuna bunge kukaa na kujadili wala kuidhinisha. Anateuliwa na kuapishwa job done.Nakumbuka Mkapa alitangaza Tu na kumuapisha..