Anayekumbuka namna Dr Shein alivyo teuliwa kuwa Makamu wa Rais tafadhali atueleze

chilubi

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
8,068
2,000
Kwa mujibu wa katiba hata huyu anayejiita Rais ni kaimu tu, alipaswa kushikilia ofisi kwa muda wa siku 90 tu kisha aitishe uchaguzi.

Huwezi kukaimu nafasi kwa miaka minne, ila wanatake advantage ya vilaza wengi nchi hii... kila kitu ni hisani akiona inafaa!!
Mbona iliwekwa humu sheria ikisema kuwa Makamu wa rais atashika nafasi hio hadi awamu kumalizika? Wewe umetoa wapi ya 90 days?
 

GeoMex

JF-Expert Member
Jan 10, 2014
5,435
2,000
Dr Shein aliteuliwa kuwa Makamu wa Rais 2001 baada ya kufariki hayati Dr Omar

Ccm hawakukaa kikao cha kuteua Jina la Makamu wa Rais

Jina la Makamu wa Rais Mteule lililetwa na Mpambe wa Rais alienkabidhi Jina kwenyw Bahasha Spika wa wakati huo Mzee Pius Msekwa

Nakumbuka Magazeti yaliyokuwa yakitoka jion ya Habari leo na Alasiri yalikosa kabisa Picha ya Dr Shein kwa kuwa hakuwa akijulikana kabisa kabisa

Tofauti na PM ambae baada ya kupendekezwa huwa yupo Bungeni, Dr Shein alipigiwa kura na Wabunge wakiwa hawamjui kabisa wala kuwahi kumuona lakin akapata Ushindi wa kishindo

Alipofika Ikulu kuapa kila mtu alikuwa anamshangaa na wengine tukamkumbuka kuwahi kumuona ona kwny Vikao vya Mkutano Mkuu wa Ccm

Wengi wetu tulidhan angechaguliwa Dr Salim Ahmed Salim or Rais Mstaaf wa wakati huo Dr Salmeen Amour Juma

Umenikumbusha mbali sana mkuu

Halafu hapo gazeti ni Dar Leo sio Habari Leo nadhani

Kudos sana
 

Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
24,500
2,000
Ki utaratibu ukishasema kwa mujibu wa Katiba unataja Section unayokusudia kuwa reference ili kuthibitisha madai yako
Kwa mujibu wa katiba hata huyu anayejiita Rais ni kaimu tu, alipaswa kushikilia ofisi kwa muda wa siku 90 tu kisha aitishe uchaguzi.

Huwezi kukaimu nafasi kwa miaka minne, ila wanatake advantage ya vilaza wengi nchi hii... kila kitu ni hisani akiona inafaa!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom