fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,606
- 8,270
Huu msaada NI kama mbuzi alieangukia kwenye sufuria ya mpika supuπππMnaotafuta waume au wake kumbukeni anayechagua ni Mungu, ila anapitia kwako. Unapokuwa na options zaidi ya moja na pale ukisikia sauti inakwambia ni huyu, basi ujue huyo ni Mungu, na please ukiisikia hiyo sauti.
Hapohapo amua na usisite. Ukiogopa kufanya uamuzi njoo inbox nikupe msaada wa mawazo ni bure kabisa.
wisdom πHuu msaada NI kama mbuzi alieangukia kwenye sufuria ya mpika supuπππ
Siwezi kuja inbox buana
Sauti ziko nyingi kwenye hii dunia
1. Sauti tamaa ( umempenda Kwa macho)
2. Sauti Moyo wako ( Moyo NI mdanganyifu na Una mambo ya kufisha)
3. Sauti akili ( unawaza mwenyewe unajijibu mwenyewe humpi Mungu nafasi)
4. Sauti shetani ( anazurura usiku na mchana kukurarua kama Simba)
5. Sauti Marafiki
6. Sauti jamii
7. Sauti wazazi ( familia)
Kusikia sauti ya Mungu sio KAZI ndogo ndugu lazima uwe umewekeza Sana Kwa Mungu Kwa
1. Kusoma Sana neno na kuliweka moyoni
2. Kumfanyia Mungu ibada Kila siku au Kila wiki binafsi nyumbani kwako
3. Kukaa kwenye uwepo WA Mungu Kila siku
4. Kumtumikia Mungu Kila siku, Kila saa
5. Kuwa na Moyo Safi
6. Kuwa na imani dhabiti
7. Kumpenda Mungu, kupenda watu wake na maadui zako kuwaombea Mema Tu
Darasa ninalo mwenyewe, anaetaka aje inbobo (inbox)
Ubarikiwe Mtumishi mpaka ushangae
Si kweli. Tamaa zako tu na utashi wakoMnaotafuta waume au wake kumbukeni anayechagua ni Mungu, ila anapitia kwako. Unapokuwa na options zaidi ya moja na pale ukisikia sauti inakwambia ni huyu, basi ujue huyo ni Mungu, na please ukiisikia hiyo sauti.
Hapohapo amua na usisite. Ukiogopa kufanya uamuzi njoo inbox nikupe msaada wa mawazo ni bure kabisa.
Haya maneno hayafanani na hiyo DPHuu msaada NI kama mbuzi alieangukia kwenye sufuria ya mpika supu[emoji125][emoji125][emoji125]
Siwezi kuja inbox buana
Sauti ziko nyingi kwenye hii dunia
1. Sauti tamaa ( umempenda Kwa macho)
2. Sauti Moyo wako ( Moyo NI mdanganyifu na Una mambo ya kufisha)
3. Sauti akili ( unawaza mwenyewe unajijibu mwenyewe humpi Mungu nafasi)
4. Sauti shetani ( anazurura usiku na mchana kukurarua kama Simba)
5. Sauti Marafiki
6. Sauti jamii
7. Sauti wazazi ( familia)
Kusikia sauti ya Mungu sio KAZI ndogo ndugu lazima uwe umewekeza Sana Kwa Mungu Kwa
1. Kusoma Sana neno na kuliweka moyoni
2. Kumfanyia Mungu ibada Kila siku au Kila wiki binafsi nyumbani kwako
3. Kukaa kwenye uwepo WA Mungu Kila siku
4. Kumtumikia Mungu Kila siku, Kila saa
5. Kuwa na Moyo Safi
6. Kuwa na imani dhabiti
7. Kumpenda Mungu, kupenda watu wake na maadui zako kuwaombea Mema Tu
Darasa ninalo mwenyewe, anaetaka aje inbobo (inbox)
Ubarikiwe Mtumishi mpaka ushangae
HapanaMnaotafuta waume au wake kumbukeni anayechagua ni Mungu, ila anapitia kwako. Unapokuwa na options zaidi ya moja na pale ukisikia sauti inakwambia ni huyu, basi ujue huyo ni Mungu, na please ukiisikia hiyo sauti.
Hapohapo amua na usisite. Ukiogopa kufanya uamuzi njoo inbox nikupe msaada wa mawazo ni bure kabisa.
DP sio yangu ni fans wameomba niwekeHaya maneno hayafanani na hiyo DP