Anayekata internet anatumia akili gani?

Anayekata internet anatumia akili gani?

Ponjoro wa Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
2,882
Reaction score
7,916
Anakata internet Polepole akiwa live, live ikiisha anarudisha internet na kutupa fursa ya kuangalia alichokisema polepole, yani hata kama ulikuwa umesahau basi ni lazima utakumbuka maana ukiona tu internet inasumbua, unajua kuna jambo, ikirudi tu unasearch.

Huyu anamhujumu mama yetu kipenzi wa kizimkazi, afukuzwe kazi maana anazidi kumchonganisha mama sa100 na wananchi.

Msisahau October tunatiki lakini tumwambie ukweli huyu mama muda wake umekwisha na hatuna imani naye. No reforms no election.
 
unatiki gizani? awashe taa ya Uchaguzi Huru na wa Haki kwanza
 
Mi huwa najiuliza, hivi ukikata intanet mda akiwa anaongea, ndo kumaanisha mazungumzo yake aliyozungumza hatutayapata?
Anafikiria kuhusu athari watu wanazopata baada ya kuzima social media?
 
Anakata internet Polepole akiwa live, live ikiisha anarudisha internet na kutupa fursa ya kuangalia alichokisema polepole, yani hata kama ulikuwa umesahau basi ni lazima utakumbuka maana ukiona tu internet inasumbua, unajua kuna jambo, ikirudi tu unasearch.

Huyu anamhujumu mama yetu kipenzi wa kizimkazi, afukuzwe kazi maana anazidi kumchonganisha mama sa100 na wananchi.

Msisahau October tunatiki lakini tumwambie ukweli huyu mama muda wake umekwisha na hatuna imani naye. No reforms no election.
Ndugu Ponjoro basi hapa umeuza siri,siku nikiona mtandao hausomeki lazima ni search mawe aliyowarushia Slow slow.
 
Anakata internet Polepole akiwa live, live ikiisha anarudisha internet na kutupa fursa ya kuangalia alichokisema polepole, yani hata kama ulikuwa umesahau basi ni lazima utakumbuka maana ukiona tu internet inasumbua, unajua kuna jambo, ikirudi tu unasearch.

Huyu anamhujumu mama yetu kipenzi wa kizimkazi, afukuzwe kazi maana anazidi kumchonganisha mama sa100 na wananchi.

Msisahau October tunatiki lakini tumwambie ukweli huyu mama muda wake umekwisha na hatuna imani naye. No reforms no election.
Wanakata ili kuangalia kama ametoa siri ya kuhatarisha usalama wa wahuni ndo waruhusu kwa public
 
Leo sijui watakataje! Mjamaa amejibandika usoni pao, leo kazi ipo kwelikweli.
 
Anakata internet Polepole akiwa live, live ikiisha anarudisha internet na kutupa fursa ya kuangalia alichokisema polepole, yani hata kama ulikuwa umesahau basi ni lazima utakumbuka maana ukiona tu internet inasumbua, unajua kuna jambo, ikirudi tu unasearch.

Huyu anamhujumu mama yetu kipenzi wa kizimkazi, afukuzwe kazi maana anazidi kumchonganisha mama sa100 na wananchi.

Msisahau October tunatiki lakini tumwambie ukweli huyu mama muda wake umekwisha na hatuna imani naye. No reforms no election.
21st to remember
 
Ukweli wewe ponjoro
 
Wanakata ili kuangalia kama ametoa siri ya kuhatarisha usalama wa wahuni ndo waruhusu kwa public
Uwezo wao wa kukata hao TCRA mwisho wao ni Tanzania tu. Kwahiyo kote duniani anakuwa anaonekana live. Na walioko nje ya nchi wana download kabisa akimaliza wanapost ili waliokuwa offline wakati anaongea waweza kuona au ku download kabisa video nzima. Kwahiyo wanajisumbua tu. Sanasana wamesababisha hata waliokuwa hawamjui na kumfatilia Polepole wameanza kumfatilia atasema nini!?.. ni kama kumpiga teke chura, unamuongezea mwendo.
 
unatiki gizani? awashe taa ya Uchaguzi Huru na wa Haki kwanza
Hawezi huyo. Mtu hajawahi kugombea hata ujumbe wa tawi? Samia yupo hapo alipo kwa sababu ya " asante mjimba"
 
Back
Top Bottom