Africa for Jesus ndo wimbo mwaya kaimba minister mahendereni kawimbo kazuri naomba jina na mtuunzi
View attachment 3542357A
Hili ndio jibu sahihi.Africa for Jesus ndo wimbo mwaya kaimba minister mahendere
duh, sababu ikiwa ni kitu gani?Kuna watu wameuawa kisa huo wimbo!
Watawala wetu mkuu waliweka maana Yao Ili kuhalalisha maujai ya watu, hasa katika kipindi Cha uchaguzi na Baada ya uchaguzi.duh, sababu ikiwa ni kitu gani?