tamuuuuu JF-Expert Member Mar 10, 2014 19,982 25,222 Jul 22, 2016 #22 Tafsiri yake ni kwamba mikataba kati ya mwajili na mwajiliwa imekiukwa nchi nzima.Mtaelewa tu
kson m JF-Expert Member Jan 24, 2014 6,648 3,003 Jul 22, 2016 #23 Nyamabano town said: Habari zenu wapendwa hivi Kuna mwenye kujua new government salary scale zitakazo anza kutumika mwezi wa saba atujuze? Niwatakie kazi njema Click to expand... Angalia salary slip ya mwezi uliopita utaona vizuri rates za mwezi huu wa saba.
Nyamabano town said: Habari zenu wapendwa hivi Kuna mwenye kujua new government salary scale zitakazo anza kutumika mwezi wa saba atujuze? Niwatakie kazi njema Click to expand... Angalia salary slip ya mwezi uliopita utaona vizuri rates za mwezi huu wa saba.
nimbagonza JF-Expert Member Jun 15, 2015 1,023 716 Jul 22, 2016 #24 Yaani bora hata mwaka jana trh na mwezi kama huu nlikuwa nakenua kwa nyongeza yangu halali ya elf 57800
Yaani bora hata mwaka jana trh na mwezi kama huu nlikuwa nakenua kwa nyongeza yangu halali ya elf 57800
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Aug 24, 2011 49,242 103,937 Jul 22, 2016 #25 Kikwete alikuwa atleast na utu
Utotole JF-Expert Member Oct 28, 2010 6,604 4,259 Jul 22, 2016 #26 Robot la Matope said: Wameongeza 3800!!!!!!!! Click to expand... Si ndio matokeo ya kushushwa PAYE 2%?
Robot la Matope said: Wameongeza 3800!!!!!!!! Click to expand... Si ndio matokeo ya kushushwa PAYE 2%?
Evelyn Salt JF-Expert Member Jan 5, 2012 63,676 112,866 Jul 24, 2016 #27 Viwango vile vile nyongeza ni buku nne
zunya JF-Expert Member Sep 2, 2014 1,484 991 Jul 24, 2016 #28 hivi.. pamoja na kupungua kwa 2% ya paye bado inaongezeka buku 3 au 4...mmmh bora ingebaki system ya zaman, maana hakuna naman nyingine hapa!!
hivi.. pamoja na kupungua kwa 2% ya paye bado inaongezeka buku 3 au 4...mmmh bora ingebaki system ya zaman, maana hakuna naman nyingine hapa!!
M MZEE RAZA JF-Expert Member Feb 19, 2015 3,438 2,404 Jul 24, 2016 #29 jose mjasiriamali said: sijaelew, kwangu naona kuna hela ndefu imepungua.kesho inabidi niwahi nichek bank statement Click to expand... HESLB wameshachukua chao mtumishi,
jose mjasiriamali said: sijaelew, kwangu naona kuna hela ndefu imepungua.kesho inabidi niwahi nichek bank statement Click to expand... HESLB wameshachukua chao mtumishi,
Leak JF-Expert Member Feb 22, 2012 52,211 42,074 Jul 25, 2016 #31 Evelyn Salt said: Acha masihara kwenye vitu nyeti asee Click to expand... Teh Teh Mwl mshahara wako umezuiliwa kwakuwa wewe ni mtumishi hewa
Evelyn Salt said: Acha masihara kwenye vitu nyeti asee Click to expand... Teh Teh Mwl mshahara wako umezuiliwa kwakuwa wewe ni mtumishi hewa
Leak JF-Expert Member Feb 22, 2012 52,211 42,074 Jul 25, 2016 #32 Evelyn Salt said: Umenifanya nikope nipige tafu ili kucheki, sio fresh bana Click to expand... Teh Teh sasa rejesha mkopo
Evelyn Salt said: Umenifanya nikope nipige tafu ili kucheki, sio fresh bana Click to expand... Teh Teh sasa rejesha mkopo
I_bin_suleyman Member Jul 23, 2016 11 3 Jul 26, 2016 #33 Hapo nikutimiza ahadi ya kuongezea walimu mshahara na kupunguzia makato ya kodi kwa maana a hadi ishaa timizwa hapo kwa hizo 2%.
Hapo nikutimiza ahadi ya kuongezea walimu mshahara na kupunguzia makato ya kodi kwa maana a hadi ishaa timizwa hapo kwa hizo 2%.