Anayejua viwango vipya vya mshahara atujuze

Habari zenu wapendwa hivi Kuna mwenye kujua new government salary scale zitakazo anza kutumika mwezi wa saba atujuze? Niwatakie kazi njema
Angalia salary slip ya mwezi uliopita utaona vizuri rates za mwezi huu wa saba.
 
Yaani bora hata mwaka jana trh na mwezi kama huu nlikuwa nakenua kwa nyongeza yangu halali ya elf 57800
 
hivi..
pamoja na kupungua kwa 2% ya paye bado inaongezeka buku 3 au 4...mmmh bora ingebaki system ya zaman, maana hakuna naman nyingine hapa!!
 
Hapo nikutimiza ahadi ya kuongezea walimu mshahara na kupunguzia makato ya kodi kwa maana a hadi ishaa timizwa hapo kwa hizo 2%.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom