Anayejua Ofisi za Bodi ya korosho Dar, msaada

Anayejua Ofisi za Bodi ya korosho Dar, msaada

Civil Eng

Member
Joined
Aug 16, 2017
Posts
22
Reaction score
16
Habari wakuu,

Kama kichwa cha habari kilivyoeleza. Natafuta location ya ofisi za bodi ya korosho Dar, au kama kuna mtu yeyote mwenye mawasiliano na yeyote anayefanyia bodi ya korosho hata aliyeko Mtwara head office.

Natanguliza shukrani.
 
Ukitoka ofisi ya posta mpya jengo linalofuata ikiwa unatokea maktaba unaenda askari mornament. Mlango wa kuingilia upo kwenye angle ya hilo jengo kama unataka kukunja kushoto uende Imalaseko. Hope umenielewa
 
Habari wakuu,

Kama kichwa cha habari kilivyoeleza. Natafuta location ya ofisi za bodi ya korosho Dar, au kama kuna mtu yeyote mwenye mawasiliano na yeyote anayefanyia bodi ya korosho hata aliyeko Mtwara head office.

Natanguliza shukrani.
Mkabala na passion/Mkapa tower au imalaseko super market... au inapoishia posta mpya ukikunja tu... ndio hapo hapo.....

Sent from "La -Vista"
 
Mkabala na passion/mkapa tower au imalaseko super market... au inapoishia posta mpya ukikunja tu... ndio hapo hapo.....

Sent from "La -Vista"

Ukitoka ofisi ya posta mpya jengo linalofuata ikiwa unatokea makataba unaenda askari mornament. Mlango wa kuingilia upo kwenye angle ya hilo jengo kama unataka kukunja kushoto uende Imalaseko. Hope umenielewa

Asanteni wakuu.
 
Back
Top Bottom