Anayejua mwimbaji wa wimbo huu...

Anayejua mwimbaji wa wimbo huu...

batista02

Member
Joined
Jul 14, 2017
Posts
5
Reaction score
2
Pipo, msaada wajameni! juzi nikiwa nasikiliza ka-radio kangu, mara nikasikia wimbo fulani amazing na wataratibu, Rnb fulani ya kibongo. siyo mzuri wa kukariri mashairi lakini nakumbuka kiitikio chake,
...Ni wewe tu x2..! akipokezana na mwanadada kwenye kuimba chorus
Nimeusaka kwenye sources zote bila majibu. mwenye kujua please, help
 
Ebu rekebisha ulicho andika, hapa Bongo kuna msanii anapiga R 'n' B?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom