Anayejua laptops vizuri anielekeze hili

Anayejua laptops vizuri anielekeze hili

Screenshot_20251230-172808.png
inaonesha hivi, kwahiyo niingilie kwenye computer
 
Wakuuu asalam asifiweee

Moja kwa moja to the point, nimekuwa natumia windows 10 pro, imekuwa ikinidai kuactivate windows mara kwa mara

Mara ya kwanza nilitoa hela kusaidiwa kuactivate sasa jamaaa akaweka external yake akafanya anavovijua chap chaoa huku akinificha akawa anatumia commands tu🤣🤣🤣

Nikatoka mweupeeeee😮, sasa wakuuu saizi sitaki tena kutoa hela yangu hapa kuactivate maana chatgpt ananiambia nilipie license ila siwezi kulipia license ili kutumia Microsoft word na wenzake.....

Anyway, akina Poor Brain Vincenzo Jr Rayns immortanity Mshana Jr msaada please

Wakuu naomba msaada wa hili, ahsante
Tumia CentOS au Ubuntu 22 or 24 LTS
 
Aaaah sasa mkuu me kitu nachojua kwenye computer ni computer basics sijasoma IT, so mnaponiambia ubuntu au centOS me sizifahamu 😌😌
Hizo si kama windows hazihitaji hata kuwa mtu wa IT Ili kuzitumia. Ni kama ilivyo iOS na Android ndivyo zilivyo hizo
 
Wakuuu asalam asifiweee

Moja kwa moja to the point, nimekuwa natumia windows 10 pro, imekuwa ikinidai kuactivate windows mara kwa mara

Mara ya kwanza nilitoa hela kusaidiwa kuactivate sasa jamaaa akaweka external yake akafanya anavovijua chap chaoa huku akinificha akawa anatumia commands tu🤣🤣🤣

Nikatoka mweupeeeee😮, sasa wakuuu saizi sitaki tena kutoa hela yangu hapa kuactivate maana chatgpt ananiambia nilipie license ila siwezi kulipia license ili kutumia Microsoft word na wenzake.....

Anyway, akina Poor Brain Vincenzo Jr Rayns immortanity Mshana Jr msaada please

Wakuu naomba msaada wa hili, ahsante
Nenda github ukadownload Microsoft Activation Scripts kisha zitumie kufanya activation ya products za Microsoft
 
Back
Top Bottom