1. elementary OS ·
2. ubuntu
3. deepin Linux ·
4. Linux Mint ·
5. Zorin OS.
Kama huna utaalamu sana nakushauri utumie ubuntu.
Hizo zote zinakuja na fuu package, kuanzia offices, drivers, players, browsers, internet drivers and tools, developer tools, built in vpn, app store, na inakua na systm ya kukuruhusu kutumia app yoyote ya windows. Plus kila kitu ni bure, hulipii hata shng kumi. japo wana option ya kuamua kufanya donations.
Ilianzishwa na hacker na ndo tool kubwa kwa hackers.
Serching engine yao ni duckduck go.