Mkuu, ebu fafanua hapo, unasema 'Death is the state, and not the process'.Kisha unasema,' yaani 'kifo ni mwanzo tu, wa kuendelea mbele, na si mchakato, kifo,ni hali ya mwili'kifo kina maelezo mengi. kwanza lazima tukubaliane kuwa death is the state and not the process, yaani kifo ni mwanzo tu wa kuendelea mbele na si mchakato. kifo ni hali ya mwili kutengana na conscious mind au ni kitendo cha mapigo ya moyo kuacha kufanya kazi kinachotokea ni kwamba roho zinabeba chuki, visasi na kinyongo na kama hujasamehe ile roho kwakuwa bado inaishi hubaki ikiwayawaya(wondering soul) ikitafuta kulipiza kisasi au kutimiza kile ilichokisema au kukinuiya huko nyuma
Mchakato ni kitu chenye mwisho wakati kifo hakina mwishoMkuu, ebu fafanua hapo, unasema 'Death is the state, and not the process'.Kisha unasema,' yaani 'kifo ni mwanzo tu, wa kuendelea mbele, na si mchakato, kifo,ni hali ya mwili'
Hapo sipaelewi vizuri.
Hicho kitu hakiwezekaniki kwakuwa kinachokufa sicho kilichozaliwaKama Kuna MTU alikufa Kisha akafufuka,basi huyo ndo angetupa majibu ambayo yangekata kiu yetu.
Nakuelewa Mkuu, lakini, nasikia kuna uzima wa milele, hapa inakuwaje?Mchakato ni kitu chenye mwisho wakati kifo hakina mwisho
Ni sahihi Kabisa milele sio mchakato ni mwanzo usio na mwishoNakuelewa Mkuu, lakini, nasikia kuna uzima wa milele, hapa inakuwaje?
basi,huu ni mtihani mkubwa sanaHicho kitu hakiwezekaniki kwakuwa kinachokufa sicho kilichozaliwa
Kwanini?inabidi mfu afufuke ili atupe ushuhuda.
Kwa mawazo kama haya basi hata dawa za mgonjwa inabidi wagundue wagonjwa wenyewe na si na MTU ambaye hajawahi hata kuumwa ugojwa husika.Well said Mkuu.Hawa wanao-comment wanaleta hadithi tu,Mimi siwaelewi na Nahitaji atakayetolea majibu basi awe alishawahi kufariki.
Mkuuuu ni Mimi macho yangu au Nina wenge la usingizi? Hiyo picha s dushelele?Mmh hebu nijibu haya tulinganishe na uhalisia
-kama kifo kingekuwa ni kurudi pale ulipotokea tungeweza kupata shuhuda nyingi tu....lakini fahamu kwamba anaye 'kufa' sio yule yeye aliyezaliwa
-ingekuwa kile tunachokula kinatokea pale pale kilipoingilia tena kikiwa kama kilivyo tungeweza kuwa na mjadala! Lakini bahati mbaya sana tunakula kingine kupitia mlango mwingine na kutoa kingine kupitia mlango mwingine ni vitu viwili tofauti vyenye asili moja
Dhana ya kifo iko hapo kama utakuwa umenielewa View attachment 384445
Nakuelewa sana mkuu.Mmh hebu nijibu haya tulinganishe na uhalisia
-kama kifo kingekuwa ni kurudi pale ulipotokea tungeweza kupata shuhuda nyingi tu....lakini fahamu kwamba anaye 'kufa' sio yule yeye aliyezaliwa
-ingekuwa kile tunachokula kinatokea pale pale kilipoingilia tena kikiwa kama kilivyo tungeweza kuwa na mjadala! Lakini bahati mbaya sana tunakula kingine kupitia mlango mwingine na kutoa kingine kupitia mlango mwingine ni vitu viwili tofauti vyenye asili moja
Dhana ya kifo iko hapo kama utakuwa umenielewa View attachment 384445
Kama miaka saba iliyopita mama mmoja jirani yetu wakati anafariki aliwambia ndugu hataki waombolezaji tuone maiti hivyo iliwekwa picha tu mpaka watu wakawa wanarudi mara mbilimbili kuangalia kama ni mwenyewe au ni picha...ila mama mwenyewe alikuwa ni mlozi na chanzo cha kifo chake kilikuwa yeye kumuua mkwewe yani mume wa mwanae hivyo upande wa pili wakafanya revenge mama wa watu alikuwa anapenda kulala na soksi basi siku hiyo kalala kuamka asubuhi kaungua kisigino ila soksi haijaungua hivyo kidonda kikawa kinakuwa taratibu...swali likabaki kwa sisi tuliohudhuria je mhusika kafa au laah na kwanini hatukuruhusiwa kumuaga kwa kuona mwili wake? Au kwenye jeneza hakuwepo mpaka wakaweka picha?
Mm naona bora serikali tatu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] lililokufwaMkuuuu ni Mimi macho yangu au Nina wenge la usingizi? Hiyo picha s dushelele?
Kifo kitabakia kuwa myth ijapokuwa kila mtu mmoja mmoja anasema kwa jinsi anavyofikiria na kuhisi ila bado maelezo yake hayajajenga mantiki ya kufikirika kwa wengine kama yupo sahihi!vitabu vya dini mungu aliandika kupitia mitume imeelezea kifo kama hakuna ajuae ajali hii itamfika lini?!kifo kama ilivyo roho haina elimu mujarabu.ila itabakia kuwa siri ambayo utaijua siku ukifa.quran tukufu ina sura inayoelezea vijana wa pangoni ambao walikimbia nchi yao na kwenda kujificha katika pango kumuhofia mfalme ambae katili.haijulikani idadi yao ila walikuwa na mbwa walipopotelea humo pangoni na kulala miaka 300 ukiongeza 60 yaani walilala wakijigeuza wakiota kwa miaka 360!walipoamka wakaulizana tumelala muda gani?!walijiridhisha kwa majibu kwamba wamelala siku moja au sehemu tu ya nusu siku!walihisi njaa hivyo wakamtuma mmoja wao akanunue chakula ila aende kwa uangalifu asije kuonekana atauawa!alipofika sokoni wakashangaa sarafu jamaa anatumia ya miaka 300 iliyopita kama wewe ukanunue dukani vitu na senti 20 yenye tobo katikati!kwahiyo kifo kilitafsiriwa hapo kwamba hata adamu aliekufa zamani akifufuka leo atasema amelala jana akaamka leo.