Anayejua free VPN ya kweli anisaidie

Anayejua free VPN ya kweli anisaidie

mkuu naomba ujuzi hiyo Keep Solid Vpn Unlimited ina saidia nini hasa plz
Ni vpn ambazo husidia kufungua mitandao ambayo imefungwa sehemu husika.
Mfano kuna maeneo Fb hairuhusiwi, ila ukiwa na hizi vitu unafungua tu
 
Ni vpn ambazo husidia kufungua mitandao ambayo imefungwa sehemu husika.
Mfano kuna maeneo Fb hairuhusiwi, ila ukiwa na hizi vitu unafungua tu
asante sasa nawezaje kujua the best software kwa ajili ya vpn.
 
hivi kuna vpn ya free itatumika kuperuzi internet km huna mbs mbali na hizi premium za kulipia km slowDns na ziwe na spd kali ?
 
c7bae573063a87baf57c5404300f7ef3.jpg
Nimefanikisha kuconnect kwa simu
 
Lengo lako ni nini unapotaka hiyo VPN?
 
mi naomba ya pc tu maana nina blog zangu nataka nizipaishe kimataifa zaidi na pia kusoma news kwenye blog za nje
 
Inasaidia kuunblock sites
Kwa hiyo upo nchi ambayo sites ziko blocked? Upo china au? Hapo utapata wakati mgumu sana maana wachina wanablock VPN actively yaani ikitokea VPN mpya wanaipiga nyundo kwenye firewall yao.
 
Kwa hiyo upo nchi ambayo sites ziko blocked? Upo china au? Hapo utapata wakati mgumu sana maana wachina wanablock VPN actively yaani ikitokea VPN mpya wanaipiga nyundo kwenye firewall yao.
Upo sahihi kabisa, lakini na wenye maujuzi yao hawalali kila siku wanatengeneza vpn mpya.
 
Muda wake sasaaa.. Leteni ilmu jamanii
 
Sasa kwa nini hizi t mobile hazina 3G only Mkuu.?
band yao ya 3g ni unique, dunia nzima wanatumia wao tu.

mfano hapa Tanzania Voda, Tigo, Halotel na wengine kasoro Smart wanatumia 3g band 2100mhz, hivyo unaona mitandao mingi wanashare band moja. ila kwa T-mobile wao wanatumia band 1700mhz ambayo ni ya kwao peke yao hawashei na mtu. simu ikitoka kwao unakuwa huwezi itumia mtandao mwengine, unless kuwe na upenyo wa ku unlock band nyengine
 
  • Thanks
Reactions: sab

Ndio maana nashangaa natumia S8+ ya t mobile nashangaa 3g hamna.....

Kibongo bongo nini faida na hasara za kukosa 3g kwenye t mobile.?
 
Back
Top Bottom