fundinaizer JF-Expert Member Dec 15, 2016 1,725 2,630 May 25, 2021 #1 Kwema wapambanaji? Napenda anayefahamu mahali wanapozalisha hizi ice cream cone biscuit pekee na kuziuza kwa bei ya jumla kwa hapa Dodoma Mjini. Nitafurahi kama nitapata msaada .
Kwema wapambanaji? Napenda anayefahamu mahali wanapozalisha hizi ice cream cone biscuit pekee na kuziuza kwa bei ya jumla kwa hapa Dodoma Mjini. Nitafurahi kama nitapata msaada .
fundinaizer JF-Expert Member Dec 15, 2016 1,725 2,630 May 25, 2021 Thread starter #3 Marashi said: Pale Azam umewatembelea? Click to expand... Pale hawauzi mkuu, ni kwa ajili ya brand yao tu na mawakala wao. Nina hitahi kwa kutengeneza ice cream zangu mimi .
Marashi said: Pale Azam umewatembelea? Click to expand... Pale hawauzi mkuu, ni kwa ajili ya brand yao tu na mawakala wao. Nina hitahi kwa kutengeneza ice cream zangu mimi .
kokudo JF-Expert Member Oct 26, 2010 2,546 1,663 May 26, 2021 #4 Mkuu kama ungeweza Fanya order China mkuu.