Wa kusoma
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 3,454
- 2,975
Hongereeni kwa kufika 2017, Mungu in mwema.
Jamani mdogo wangu amechaguliwa kujiunga kidato cha kwanza shule ya sekondari Bwiru.
Naombeni kwa anayejua taratibu za shule hii ikiwemo, ada, michango, sare nk au kama kuna mwenye fomu ya kujiunga (joining instruction anitupie hapa) maaana nimekosa mawasiliano na shule hii.
Pia kama una mdau yupo pale niunganishe naye.