Anayeifahamu tume ya mionzi jamani

Rweza79

JF-Expert Member
Feb 29, 2012
207
47
Nimeitwa kwenye interv. Next wk na tume ya mionzi Arusha, plze naomba yeyote anayeifahamu vizuri anijuze, nini maana ya mshahara wa PRSS 1 na sh. Ngapi? Kuna maslahi gani mengine tofauti na mshahara?
Ni hayo tu wapendwa.
 
Back
Top Bottom