lipoprotein
Member
- Oct 4, 2016
- 51
- 58
Wandugu kwanza napenda kutanguliza shukurani za dhati kwa wanajukwaa wote, kama heading inavyoeleza hapo juu mm ni nwalimu wa chemistry & Biology natafuta shule ya kufundisha hayo masomo tajwa nipo tayari kuja mkoa wowote hapa Tanzania, kama utakuwa na uhitaji mawasiliano nitatoa