mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,664
- 18,044
Tunavyozungumza Arsenal anamnyanyasa Tottenham kwa goli mbili kwa sifuri hadi mapumziko!! Anaongoza ligi kwa pointi 8. Moto aliouwasha hauna dalili ya kuzimika, sana sana unazidi makali!! Ni kweli ligi bado sana lakini dalili za mvua ni mawingu!!
Musimu huu Liverpool na Chelsea ni choka mbaya!! Wanazidiwa pointi 19 na Arsenal. Wanashikilia nafasi ya 9 na ya kumi wote wakiwa na pointi 28.
Musimu huu Liverpool na Chelsea ni choka mbaya!! Wanazidiwa pointi 19 na Arsenal. Wanashikilia nafasi ya 9 na ya kumi wote wakiwa na pointi 28.