TEMBO WANGU
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 930
- 1,297
Wadau naomba kama kuna mtu anafahamu ofisi za nacte, mi nakaa kinondoni mkwajuni. naomba msaada wadau. asante
usihangaike shuka ITV chukua bajaji waambie wakuprleke ofisi za nacte. watakupeleka mpaka getini