Anayefahamu Mishahara ya FINCA International

Anayefahamu Mishahara ya FINCA International

Simple lady

Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
28
Reaction score
1
Habari wana JF,

Naombeni anayefahamu mishahara ya loan officers FINCA International,

Natanguliza shukrani
 
FINCA international hawana loan officers FINCA TZ ni 500000-750000 gross kwa loan officer wa kawaida,supervisor ni 1.2-1.5m so kaza buti uwe supervisor at least ila jitahidi portfolio iwe kubwa kijana
 
Wote wako sahii na kuna bonus inategemea na portfolio yako..the higher the client the higher the bonus
 
Kijana kama umepata kazi subiri mkataba utaona wanalipa shilingi ngapi...!!
 
Nataka niapply niliona tangazo lao la kazi feb 12 2014 au deadline imepita?
 
Kabla ya kuuliza malipo, umefujua core functions and values za finca? Malengo yake je? Historia yake? Mmiliki? Wakurugenzi wake? Etc au umerukia kuuliza mshahara? Wasomi wetu wa kisasa maslahi mbele tu
 
Kabla ya kuuliza malipo, umejua core functions and values za finca? Malengo yake je? Historia yake? Mmiliki? Wakurugenzi wake? Etc au umerukia kuuliza mshahara? Wasomi wetu wa kisasa maslahi mbele daima
 
Back
Top Bottom