madaraja ni sawa na serikali kulingana na kiwango cha elimu,bt kuna kupata bonus kila mwezi na kupanda daraja kila mwaka,iyo itategemea na mchango wako kwa nafas yako though loan officer claimed to be na ugumu fulani,jst lyk sales position,unatafuta wateja and most of time unawafata
Kama ni loan officer nenda ukiwa tayari kufanya simple logical calculations na kama sales basi jua ni jinsi gan utamuaproach mteja na utatusaidia vp ili tuweze kuuza zaidi. UMEPIGIWA SIMU LINI MDAU?
Hawa FINKA nina wasiwasi nao sana, niliwahi kufanya kazi kwenye ofisi moja ambayo ni iko mjengo mmoja na hiyo taasisi ya FINCA. Wafanya kazi wake wapowapo tu hta uvaaji wao hauridhishi yaani ki ujumla hawapendezi na hawako smart wapo kinjaanjaa tu...ikanipa picha kwamba pesa wanayopewa itakuwa ni kidogo sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.