Anayefahamu ada za Marian Unversity College, msaada tafadhali

Anayefahamu ada za Marian Unversity College, msaada tafadhali

44mg44

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2019
Posts
2,158
Reaction score
2,189
Kwa mtu mwenye uelewa juu ya hilo naomba ansaidie. Nimechaguliwa pale kwenda kupga Bachelor of Science with Education, naomba anaejua ada ya hii course kwenye hiki chuo ansaidie!!!

Karibuni wadau
 
Ina maana chuo hakina joining instructions? Fee structure ? Cheki kwenye website yao acha uvivu bwanamdogo
 
Kwa mtu mwenye uelewa juu ya hilo naomba ansaidie. Nimechaguliwa pale kwenda kupga Bachelor of Science with Education, naomba anaejua ada ya hii course kwenye hiki chuo ansaidie!!!

Karibuni wadau
Marian michango inazidi ada,hicho chuo omba baada ya kukosa kabisa vyuo vingine
 
  • Thanks
Reactions: p2k
Back
Top Bottom