Inasaidia kukomesha mataperi kama uyo mamaNaomba kuelimishwa kidogooo,hivi mtu akimuuzia mwenzie kiwanja ambacho sio chake,hii inaingiaje kwenye uhujumu uchumi?hiyo di utapeli?
Wajuvi was sheria mnisaidie,Maana MTAANI haya mambo yapo Sana.
Nimekuelewa ,lakini swala hili la kuuza kiwanja linaletaje uhujumu uchumi?Kama ni hivyo basi mitaani wengi ni wauhjumu uchumiUtapeli ni utakatishaji wa fedha Money laundry
unapewa pesa upeleke FAT kwa ajili ya michezo unazichepusha na kuzalisha faida hapo ni UTAKATISHAJI (uhujumu)
unadai unaweza kufua umeme kwa mitambo yako kumbe unazima mingine ili wewe ulipwe zaidi kilichozidi ni kutuhujum
Kesi hapo ni utakatishaji pesa. Yaani fedha zipatikanazo kwa utapeli zinaitwa pesa haramu (chafu).Naomba kuelimishwa kidogooo,hivi mtu akimuuzia mwenzie kiwanja ambacho sio chake,hii inaingiaje kwenye uhujumu uchumi?hiyo di utapeli?
Wajuvi was sheria mnisaidie,Maana MTAANI haya mambo yapo Sana.
Arudishe mkwanja was watu kwanzaHuyu anaweza kukiri na kusamehewa fasta. Atumie fursa iliyopo ili kujinasua na balaa!
Nadhani kipo cha mno zaidi ya hilo,,,Naomba kuelimishwa kidogooo,hivi mtu akimuuzia mwenzie kiwanja ambacho sio chake,hii inaingiaje kwenye uhujumu uchumi?hiyo di utapeli?
Wajuvi was sheria mnisaidie,Maana MTAANI haya mambo yapo Sana.
Issue Sio Jpm issue ni Hao watu Wa DPP ambao hawako smart... Kujipatia pesa kwa Njia ya udanganyifu inakuwaje ni money laundering?kesi za utapeli kwasasa zinaitwa 'kutakatisha fedha' na 'uhujumu uchumi', history will judge JPM harshly
Kutakatisha. Kufanya kitu kuwa kisafi
Unapata fedha kwa njia isiyo halali. Wizi,utapeli,kukwepa kodi,kudhulumu,kuuza madawa ya kulevya.
Fedha uliyoipata unaenda kuitumia kununua vitu halali. Mpaka hapo unanunua Mali halali kwa kutumia fedha zisizo halali. Kwa kiingereza inaitwa money loundering. Laundry ni sehemu wanapofulia nguo
Hii sheria jamani... Baada ya miaka 3-4 bwana mkubwa akimwonea huruma baada ya kukonda, atamwomba akiri kosa, kuomba msamaha na kurejesha pesa huku upelelezi ukiwa bado haujakamilika!
Kutakatisha. Kufanya kitu kuwa kisafi
Unapata fedha kwa njia isiyo halali. Wizi,utapeli,kukwepa kodi,kudhulumu,kuuza madawa ya kulevya.
Fedha uliyoipata unaenda kuitumia kununua vitu halali. Mpaka hapo unanunua Mali halali kwa kutumia fedha zisizo halali. Kwa kiingereza inaitwa money loundering. Laundry ni sehemu wanapofulia nguo
Utapeli upo katika mazao/predicate offence ya utakatishaji fedhaNaomba kuelimishwa kidogooo,hivi mtu akimuuzia mwenzie kiwanja ambacho sio chake,hii inaingiaje kwenye uhujumu uchumi?hiyo di utapeli?
Wajuvi was sheria mnisaidie,Maana MTAANI haya mambo yapo Sana.
Soma vizuri,shitaka ni utakatishajiNdugu zangu hili swala la uhujumu uchumi nadhani sasa ni kwa ajili ya kukomoa watu tu basi. angalia kesi kama hii yaani mtu unakosaje dhamana wakati swala ni hilo dogo tu halafu thamani ya fedha ni 25 mn tu.
Hi sheria inashtaki mpaka kibaka au ni uamuzi wa wakili kuamua huyu ashtakiwe kwa kosa hili na yule aende mahakamani kwa shtaka la uhujumu uchumi kwani sasa inatuchanganya kuelewa ninini hasa maana ya "kufisadi"
Nasubiri majibu piaNaomba kuelimishwa kidogooo,hivi mtu akimuuzia mwenzie kiwanja ambacho sio chake,hii inaingiaje kwenye uhujumu uchumi?hiyo di utapeli?
Wajuvi was sheria mnisaidie,Maana MTAANI haya mambo yapo Sana.
hiyo fedha ya udanganyifu baada ya kuipata akiweka katika mzunguko halali wa hela ilhali kapata isivyo kihalali..hii ni sawa kwa watu wa madawa ambao hupata mifedha mingi na huzuga kwa kuchukua kiasi fulan cha hizo hela na kuanzisha shughuli fulani ya kibiashara inayoficha biashara haramu(madawa)Naomba kuelimishwa kidogooo,hivi mtu akimuuzia mwenzie kiwanja ambacho sio chake,hii inaingiaje kwenye uhujumu uchumi?hiyo di utapeli?
Wajuvi was sheria mnisaidie,Maana MTAANI haya mambo yapo Sana.
Inafanana na sheria za kikoloni - kuzuia watu kupata uhuru na kuwanyanyasa kisaikolojia. Yaani mtu akikukamata na gunia la korosho akasema umehujumu uchumi, unakwenda mahabusu bila dhamana na upelelezi unachukuwa miaka na miaka... bila kukamilika. Yaani ni sawa na kufungwa kabla ya hukumu. Naamini kuna siku huu msumeno utawakata walioipitisha pia. Tumekuwa wakoloni weusi.
Kwa namna nyingine tuseme ni kizuizini ya kimtindo fulani hivi?
Nadhani umeshindwa kuelewa dhima ya neno kutakatisha pesa.Utapeli ni utakatishaji wa fedha Money laundry
unapewa pesa upeleke FAT kwa ajili ya michezo unazichepusha na kuzalisha faida hapo ni UTAKATISHAJI (uhujumu)
unadai unaweza kufua umeme kwa mitambo yako kumbe unazima mingine ili wewe ulipwe zaidi kilichozidi ni kutuhujum
Kwani kafariki kweli?Hyu balali Ana jumba moja linangalia ufukwe mmja bahari ya hindi
Basi ndg upande wa mwanaume wanakwenda mbio kutaka kuliuza wanataka kumzidi mke wa marehemu
Sahv Ukienda pale nje Kuna mabaunsa full time
Ova