Anaye ufahamu vizuri shule ya Ebonaishu Arusha anieleze tafadhali

Nzuri kisa tu ni ya wakatoliki na ufaulu mbovu sasa kuna faida gani??[/QUOTE
Acha udini wewe, sasa unailinganisha inaboishu na edmundi rice or st teresa kielimu? Hauko sirias wewe embu acha uvivu google matokeyo ya necta then ulinganishe

Ewaaa hapo hapo kaangalie matokeo yao alafu useme mwenyewe hahaha utachok
 
Nzuri kisa tu ni ya wakatoliki na ufaulu mbovu sasa kuna faida gani??[/QUOTE
Acha udini wewe, sasa unailinganisha inaboishu na edmundi rice or st teresa kielimu? Hauko sirias wewe embu acha uvivu google matokeyo ya necta then ulinganishe

ACSEE 2014 ENABOISHU
DVS. I-5. II-24 . III-18. IV-1 0-0

ACSEE 2014 EDMUND R.S
DVS. I-11. II-49. III-109. IV-57. O-4
Mkuu bado unaswali lingine hapo??@Helper
 
Back
Top Bottom