Anaye hitaji house boy!

Tope

Member
Jul 23, 2012
74
61
Natafuta kazi ya u house boy nina 28yrs najua kiswahili na kiingereza fasaha elimu yangu kidato cha sita kwa sasa nipo dar. Mshahara maelewano aliye atakayekuwa tayari ntamtumia ac ya email
 
Hilo jina lako!
Halafu mwanaume!
Umri wa kuoa!
Sheria hairuhusu ubaguzi ila nahisi you are over qualified.
PAW my l'aziz atahisi nimemletea mume mwenzie ndani
Shosti wangu is single, nikikupeleka nahofia kushuhudia harusi just in case it worked out kinyumenyume!
If miracles do exist, you need one buddy!
 
Natafuta kazi ya u house boy nina 28yrs najua kiswahili na kiingereza fasaha elimu yangu kidato cha sita kwa sasa nipo dar. Mshahara maelewano aliye atakayekuwa tayari ntamtumia ac ya email

Kashike chaki wewe shule za yeboyebo,form6 housebway?? Ulipata ngapi matokeo yako?
 
Hilo jina lako!
Halafu mwanaume!
Umri wa kuoa!
Sheria hairuhusu ubaguzi ila nahisi you are over qualified.
PAW my l'aziz atahisi nimemletea mume mwenzie ndani
Shosti wangu is single, nikikupeleka nahofia kushuhudia harusi just in case it worked out kinyumenyume!
If miracles do exist, you need one buddy!

Khaaa!
 
mmmh ukipata kwa mtu mwenye mke wake itakuwa soo hapo na ukipata kwa kijana akija na gf wake pia itakuwa soo na ukipata kwa single lady nae basi ajue hatakuwa na haja ya kuolewa tena au kutafuta bf na ukipata kwa mschana ambaye ana bf anaweza muacha bf wake for u ukizingatia house boy wengine wanajua kupika msosi heavy lol
hapo kwenye umri ndo itakuwa soo all the best kijana.
 
mmmh ukipata kwa mtu mwenye mke wake itakuwa soo hapo na ukipata kwa kijana akija na gf wake pia itakuwa soo na ukipata kwa single lady nae basi ajue hatakuwa na haja ya kuolewa tena au kutafuta bf na ukipata kwa mschana ambaye ana bf anaweza muacha bf wake for u ukizingatia house boy wengine wanajua kupika msosi heavy lol..hapo kwenye umri ndo itakuwa soo all the best kijana.

wili yu meri me sakapal ?
 
Last edited by a moderator:
hahahaaahhaaaa!! u ask me here..! Its like we r at airport and suddenly u ask me, what else should i say SnowBall, YES! I WILL. Kama ulikuwa unatania ooohooooo.....!

Naomba iwe utani aisee kuoa kazi bana!
Si unaona hapa MMU kila siku malalamiko tu..
BTW mzima lakini?
 
Naomba iwe utani aisee kuoa kazi bana!
Si unaona hapa MMU kila siku malalamiko tu..
BTW mzima lakini?

Am glady am sore am fine... hahahaaaaaaa just joking
niko poa SnowBall just missing u,
mambo ya ndoa yanataka mbeleko hayo lol kumbeba mtu mwenye meno 32 sio utani atiii watu wa tanga ndo wanayaweza haya lol!!, wakati mtu alibebwa na mama yake akiwa hana jino hata moja leo uje umbebe weye utaweza au utaburuza miguu na kuumia mugongo..?
 
ujue tumechakachua uzi wa watu..
mimi simo bana...
 
Duuh hii sasa kali
naona unaweza kuja kuoa watoto wangu?
:sleepy:House boy anaingia mpaka Jeifu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom