Anaweza pata ujauzito kwa hivi?

Anaweza pata ujauzito kwa hivi?

Mnachelewaga kuchomoa....yaan mnachomoa wakati bullet ya kwanza isharushwa.Mimba kadaka huyo.Walijitesa bure...wangejua wangepigana peku tu
 
Unadinyana kavu siku ya ovulation kabisa hiyo na hutaki kupea manzi ako mimba...

Ishakula kwako
 
Uzi wa kitoto!!😁😁 Kweli shule zimefungwa..
 
Wadau, kuna manzi ameniuliza swali na nimeshindwa nimjibuje.

Alifanya mapenzi na boy wake ilkua siku ya 15 tangu aingie period, walitumia condom bao la kwanza then second round wakafanya bila condom ila bao alimwagia nje.

Anauliza kuna uwezekano kwamba sababu bao la kwanza jamaa kamwagia kwa ndom kukawa na masalia ya sperm kwa uume na mimba ikatungwa, je uwezekano huo upo wadau?
Screenshot_20221215-214021_1.jpg
 
Inawezekana mi nilimsalimia tu demu kwa kumwambia "mambo" kesho yake akanitumia meseji kuwa hajielewi anahisi ana mimba nikakubali kulea mimba nikasema nisije kukataa muujiza wa Mungu maana hata kwenye maandiko ilishatokeaga
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119] nmekunyooshea mikono
 
Wadau, kuna manzi ameniuliza swali na nimeshindwa nimjibuje.

Alifanya mapenzi na boy wake ilkua siku ya 15 tangu aingie period, walitumia condom bao la kwanza then second round wakafanya bila condom ila bao alimwagia nje.

Anauliza kuna uwezekano kwamba sababu bao la kwanza jamaa kamwagia kwa ndom kukawa na masalia ya sperm kwa uume na mimba ikatungwa, je uwezekano huo upo wadau?
Hii ni sperm kwenye microscope
B14frames-1.GIF

Nadhani umenielewa ,
Kwa kifupi inakimkia kinachomuaezesha kumove.
 
Wadau, kuna manzi ameniuliza swali na nimeshindwa nimjibuje.

Alifanya mapenzi na boy wake ilkua siku ya 15 tangu aingie period, walitumia condom bao la kwanza then second round wakafanya bila condom ila bao alimwagia nje.

Anauliza kuna uwezekano kwamba sababu bao la kwanza jamaa kamwagia kwa ndom kukawa na masalia ya sperm kwa uume na mimba ikatungwa, je uwezekano huo upo wadau?
Sio kupata ujauzito tu, atapata na UTI au magonjwa ya zinaa sugu ambayo kwa kizungu wanaita resistant to antibiotics
 
Wadau, kuna manzi ameniuliza swali na nimeshindwa nimjibuje.

Alifanya mapenzi na boy wake ilkua siku ya 15 tangu aingie period, walitumia condom bao la kwanza then second round wakafanya bila condom ila bao alimwagia nje.

Anauliza kuna uwezekano kwamba sababu bao la kwanza jamaa kamwagia kwa ndom kukawa na masalia ya sperm kwa uume na mimba ikatungwa, je uwezekano huo upo wadau?
Uzinzi walifanya lini mkuu?, kuna Kuwai P2 ?
 
Kuna mmoja aliniletea mbususu yake siku ya 15 nikauza mechi mpaka leo hajaona siku na kidume siwazi hata atapambana na hali yake.
 
Inawezekana mi nilimsalimia tu demu kwa kumwambia "mambo" kesho yake akanitumia meseji kuwa hajielewi anahisi ana mimba nikakubali kulea mimba nikasema nisije kukataa muujiza wa Mungu maana hata kwenye maandiko ilishatokeaga

Unaonaaa
 
😝condom ilikuwa ya nnii mwanzo kamuulize akijibu njoo uchukue jibu la swali lake...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom