genius kipanga
Member
- Nov 30, 2022
- 27
- 18
Wadau, kuna manzi ameniuliza swali na nimeshindwa nimjibuje.
Alifanya mapenzi na boy wake ilkua siku ya 15 tangu aingie period, walitumia condom bao la kwanza then second round wakafanya bila condom ila bao alimwagia nje.
Anauliza kuna uwezekano kwamba sababu bao la kwanza jamaa kamwagia kwa ndom kukawa na masalia ya sperm kwa uume na mimba ikatungwa, je uwezekano huo upo wadau?