Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,621
- 10,383
Si imezoeleka ukienda kinyume na yeye anakuvua vyeo.Mnamzungumzia nani wakuu? Mbona mnanipoteza kirahisi kama mtoto wa mbwa.
Hivi Job Ndugai waliwezaje kumpokonya uspika? Kuna utaratibu wa kisheria uliotumika au ni wahuni wa mfumo walipewa kandarasi ya kumpiga chiniKuna Ugumu ndio Maana anajiamini atakaa hadi 2030.
Ingawa Inawezekana akaondolewa madarakani.
Iwapo amefanya vitendo vinavyovunja Katiba au Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma.
Pale anaposhindwa au kuacha kutekeleza kazi na majukumu ya kiti chake.
Kama amepatikana na hatia ya kosa la jinai linaloonyesha utovu wa uaminifu.
Njia pekee ni kuanzisha Mchakato Bungeni
Mkuu mwenyewe anaweza kuwasilisha Bungeni hati ya kuliomba Bunge lipitishe azimio la kumwondoa kwa madai ya kushindwa au kuacha kutekeleza kazi zake.
Au Mbunge yeyote anaweza kuwasilisha hoja binafsi Bungeni ya kutaka kumwondoa madarakani kwa misingi ya kuvunja katiba au kukiuka maadili ya umma, na endapo taratibu na idadi maalum ya kura za wabunge zitafikiwa kwa mujibu wa sheria.
Au Yeye mwenyewe aandike barua ya kujiuzulu .
Ila Kumvua uanachama hakumwondoi moja kwa moja madarakani, kwani Katiba haina kifungu kinachomfuta kazi. kiongozi huyo papo hapo kwa kupoteza kadi ya chama chake.
au pengine Labda Itumike njia nyingne ya kumuondoa.
sijasema Kumuwekea Sumu.
Nimewaza tu.
Sasa nimeelewa.Si imezoeleka ukienda kinyume na yeye anakuvua vyeo.
waziri wa mambo ya ndani,George Simbachawene baada ya kutoka hadharan na kusema polisi wakienda kumkamata mtu wafuate taratibu na wavae sare za kiaskari na waseme wanampeleka wapi yule mtu.
Baada ya siku 2 akapoteza uwaziri.
Kula yule mwingne alisema Mama anakopa kopa na deni la taifa ni kubwa. Kesho yake akaandikiwa barua ya kujiuzulu Uspika.
Sasa huyu, kuna kaugumu kidogo.
Ndio maana anajiamini.
Walimsihi Jobu ajiuzulu kabla maovu hayajamkuta.Hivi Job Ndugai waliwezaje kumpokonya uspika? Kuna utaratibu wa kisheria uliotumika au ni wahuni wa mfumo walipewa kandarasi ya kumpiga chini
Hivi Kasim Majaliwa alizuiwa na nani kwenda kuchukua form ya kugombea tena baada ya kuahidi kugombea akiwa anaaga bunge?
Nani alimsihi ?Walimsihi Jobu ajiuzulu kabla maovu hayajamkuta.
Yule siku ile ile usiku alipigiwa simu na kufuatwa na Malecela kuwa aandike barua ya kujiuzulu maana amemkosea mkuu.Hivi Job Ndugai waliwezaje kumpokonya uspika? Kuna utaratibu wa kisheria uliotumika au ni wahuni wa mfumo walipewa kandarasi ya kumpiga chini
Hivi Kasim Majaliwa alizuiwa na nani kwenda kuchukua form ya kugombea tena baada ya kuahidi kugombea akiwa anaaga bunge?
Basi Maza ajifunge vyema kiunoni maana anapambana na jitu kwelikweli.Mi mseminari,
Ni mkatoliki.
Ni afisa kipenyo
Ni mtu wa Songea.
Watu wa Songea na Sumbawanga wana zile skills za asili.
Ana lugha ya kuweza kulaghai
Huyu yuko Kinyume na Mkuu siku nyingi.Mi mseminari,
Ni mkatoliki.
Ni afisa kipenyo
Ni mtu wa Songea.
Watu wa Songea na Sumbawanga wana zile skills za asili.
Ana lugha ya kuweza kulaghai
Yule mbunge wa Pemba ni msenggeHuyu yuko Kinyume na Mkuu siku nyingi.
Huon yule mbunge wa Pemba (Simai) alimuita Yuda na akasema anamsaliti Mkuu wake.
Nadhani ni John Malechela.Nani alimsihi ?
Kumwondoa madarakani ni rahisi sana. Ni kumvua uanachama wa CCM. Kwisha habari yake. Ndiyo maana kila siku nahubiri kuhusu Mgombea huru kuwa ndilo kimbilio la mageuzi hapa nchiniKuna Ugumu ndio Maana anajiamini atakaa hadi 2030.
Ingawa Inawezekana akaondolewa madarakani.
Iwapo amefanya vitendo vinavyovunja Katiba au Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma.
Pale anaposhindwa au kuacha kutekeleza kazi na majukumu ya kiti chake.
Kama amepatikana na hatia ya kosa la jinai linaloonyesha utovu wa uaminifu.
Njia pekee ni kuanzisha Mchakato Bungeni
Mkuu mwenyewe anaweza kuwasilisha Bungeni hati ya kuliomba Bunge lipitishe azimio la kumwondoa kwa madai ya kushindwa au kuacha kutekeleza kazi zake.
Au Mbunge yeyote anaweza kuwasilisha hoja binafsi Bungeni ya kutaka kumwondoa madarakani kwa misingi ya kuvunja katiba au kukiuka maadili ya umma, na endapo taratibu na idadi maalum ya kura za wabunge zitafikiwa kwa mujibu wa sheria.
Au Yeye mwenyewe aandike barua ya kujiuzulu .
Ila Kumvua uanachama hakumwondoi moja kwa moja madarakani, kwani Katiba haina kifungu kinachomfuta kazi. kiongozi huyo papo hapo kwa kupoteza kadi ya chama chake.
au pengine Labda Itumike njia nyingne ya kumuondoa.
sijasema Kumuwekea Sumu.
Nimewaza tu.
Kile cheo kinambeba. Pale kutoka ni hadi 2030.Basi Maza ajifunge vyema kiunoni maana anapambana na jitu kwelikweli.
Kwa namna hii basi tunahitaji katiba mpya ya kumwajibisha huyo anayejifanya mungu mtu.Njia ya kuipata hiyo katiba ni njia ambayo tuliitumia siku ya MO29Yule siku ile ile usiku alipigiwa simu na Malecela (RIP) kuwa aandike barua ya kujiuzulu maana amemkosea mkuu.
Na kabla hajaandika . Barua ikaandikwa na kupelekwa kwa katibu wa Bunge kuwa Anajiuzulu ππππ.
Ukishangaa na Majaliwa. Shangaa pia ya Tulia Ackson. Alishachukua fomu ya kugombea uspika kwa awamu ya 2. Alaf hakurudisha fomuπππ. Na jina lake likaondolewa.