Anauza vitu kwa bei sawa na bure (bei chee)

Anauza vitu kwa bei sawa na bure (bei chee)

Kajolijo

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Posts
3,364
Reaction score
4,619
*Kama utakipenda chochote hapa njoo Inbox tuzungumze biashara*

1. Freezer aina ya philips Tsh 80,000/=. Haina mlango wala mtungi wa gesi
.
2. Feni ya chini Tsh 8,000/=. Inawaka kwa machale.. yaeza kukaa hadi masaa 2 haijaanza kuzunguka
,
3. Pasi ya umeme aina ya Phillips. Tsh 9,000/=, haishiki moto kabisa hata ikae nusu saa kwny umeme na kidude cha kuregulate moto kimeharbika..

4. Meza ya plastic Tsh 4,000/= ina miguu 3 na mmoja mfupi kidg.

5. Vikombe vya udongo Dozen 1 Tsh 900/= ila vilipata ajali kidg.. vimekatika mikono na vingne vimetoboka chini

6.Redio ya caset lkini haina transiforma bei Tsh 8,000/=

7.Flat scren bei TSh 90,000/= kioo kimepasuka na haina rimot control na batan zime haribika fasta nichek

8.Simu aina ya Sumsung s7 edge TSh 70,000/= ilidondokea kwenye maji ikapiga shot, kitufe cha kuwashia hakipo na hata ukiweka kingine haiwaki, ni simu nzuri bora na ya kisasa!

9.Kamera aina ya sony mp 16 bei Tsh 27,500/= haina lens, ni mbovu hata mafundi hawaitaki kama spea.

10.Bajaji aina ya tvs, bei Tsh 60,000/= haina matairi, viti wala usukani! Imetumika miaka 8 na inadaiwa kodi ya miaka 2!

*Karibu, bidhaa ni nyingi sana, zipo za aina tofauti tofauti kama magari, ndege, treni, meli,


C&P
 
Nilipoanza kusoma nilidhani kweli lakini kumbe umeandika ili usikike!
 
Nimecheka hapo ktk camera hahaaah eti hata mafundi hawaitaki
 
Back
Top Bottom