Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,615
Iliwaka moto,nikatafuta feni ilipo[emoji18]Ukaumwa? Au iliwaka moto [emoji23]
Iliwaka moto,nikatafuta feni ilipo[emoji18]Ukaumwa? Au iliwaka moto [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji35] [emoji35]Mi o mo !!! .....
Otutu nibi
Mwanamke mwenye jini mahaba ana tabia zifuatazoIla inawezekana,sasa jini halitaki tukwichikwichi au
Nyau weee [emoji3][emoji3][emoji125] [emoji125] [emoji35] [emoji35]
Vipande vya barafu utumiiIliwaka moto,nikatafuta feni ilipo[emoji18]
Mmh,hapana labda kwenye balimi tuuVipande vya barafu utumii
Mfanyage taratibu jamani... Mbona starehe inageuka balaa? ? Usitafute sifa eti za huko kunako kuwake moto huko ni kuumizana .Mambo taratiibu juu ya mlima mtu anapanda mara kibao.... Akitoka hapo mwepesi hakuna kuuguzana namna hiyo .Kama kichwa kinavyojieleza.
Nina mpenzi wangu tuna takribani miezi 6 sasa,Tatizo linalomsibu ni kila baada ya kukwichikwichi anasumbuliwa na maradhi,tumeenda hospitali mara kadhaa anaishiwa kupimwa magonjwa ya kawaida kama UTI,typhoid,malaria n.k. Kuna wakati amewahi kulazwa kama mara 3 hivi.
Imefika kipindi hata hafurahii sex maana anajua baada ya hapo ataanza kujiuguza na mimi najiandaa kisaikolojia tu kuwa muuguzi baada ya kufurahia tendo.
Kwa yeyote mwenye uelewa wa tatizo hili karibuni kwa ushauri.