Anaumwa after sex,nini tatizo.

Anaumwa after sex,nini tatizo.

mchumi tumbo

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2018
Posts
832
Reaction score
997
Kama kichwa kinavyojieleza.
Nina mpenzi wangu tuna takribani miezi 6 sasa,Tatizo linalomsibu ni kila baada ya kukwichikwichi anasumbuliwa na maradhi,tumeenda hospitali mara kadhaa anaishiwa kupimwa magonjwa ya kawaida kama UTI,typhoid,malaria n.k. Kuna wakati amewahi kulazwa kama mara 3 hivi.
Imefika kipindi hata hafurahii sex maana anajua baada ya hapo ataanza kujiuguza na mimi najiandaa kisaikolojia tu kuwa muuguzi baada ya kufurahia tendo.
Kwa yeyote mwenye uelewa wa tatizo hili karibuni kwa ushauri.
 
Badilisha hospital alafu apime UTI tena sehemu tofauti tofauti mkuu kz mara nyingi ikisha kuwa kali ina kuwa na dalili za homa au malaria
 
Hujaelezea ni maradhi gani hayo anayosumbuliwa nayo. Umekuwa general tu. Hebu jaribu kueleza hasa ni nini kina ho muuma.
 
Hujaelezea ni maradhi gani hayo anayosumbuliwa nayo. Umekuwa general tu. Hebu jaribu kueleza hasa ni nini kina ho muuma.
 
Brother kama huwa anaugua tumbo, hiyo ni hali ya kawaida kwa wadada wengi, nitawaeleza why, waschana wengi hedhi ikiisha tu anakaa siku moja hadi 3 ya nne anagawa papuchi so hilo huwa kosa kubwa sana, na ndo linalowauguza matumbo waschana
 
Jaribu kupima hospitali tofauti
Nyuma ya pazia labda ana mapepo
 
Back
Top Bottom