Anatokea nchi gani huyu?

Anatokea nchi gani huyu?

Huyu LAZIMA atakuwa Mkikuyu (Mkenya), there's no argument here. Wanapenda sana kuvaa suits hata kama hana kazi, wanaona ufahari kuvaa suti kutembea mjini kushangaa skyscrapers. Mzungu akimsalimia tu, 'how are you'.....anacheka utafikiri anatongozwa au kupewa offer.
Waluo ndio wako smart sana kimavazi. Yaani Mluo unaweza kumkuta ndani ya matatu kashika gazeti la TIMES amevaa suti yake na mkonon mwingine ana briefcase. Hao ndio Waluo ni smart balaa.
 
Waluo ndio wako smart sana kimavazi. Yaani Mluo unaweza kumkuta ndani ya matatu kashika gazeti la TIMES amevaa suti yake na mkonon mwingine ana briefcase. Hao ndio Waluo ni smart balaa.

Waluo ndio waliosoma zaidi kule Kenya. Na hao walio na briefcases wako katika harakati za kutafuta kazi.
 
Muulizeni Maalim Seif maana na yeye ana kiwanda cha cherehani mbili.
 
Back
Top Bottom