Anatishia kuniua

Anatishia kuniua

Atapata asthma buree nibakie nauguza. Acha ngano na magugu vimee pamoja hadi bwana shamba arudi. Wanachosha hawa!

Magugu yanamea sana....hadi ubora wa ngano unaelekea kupotea.....
Umebaki wewe tu (kupitia kwa Paw :-D ).....kuokoa ngano....
 
Last edited by a moderator:
kama ulikuwa una mtu wako,kulikuwa na umuhimu wowote wa kumtumia huyo bidada?

hapa wametumika wote akuna alotumiwa na hili huwa nalitafakari naona ntakuwa nimekosea kusema amenitumia akaniacha, kivipi na akat nimekubali kwa akili yangu cjalazimishwa?
 
Kaka nenda beyond the scope...Huyu dada huenda anamaanisha alishaharibu maisha yako ndo maana anakwambia kuwa kwa lolote mlaumu yeye

Nenda VCT ukaprove hiyo statement
 
Kacheck status ya afya yako km mzima we kaa kimya ayo ni maneno tu ata akikutext usiangaike kujibu wala sim zake usipokee ataacha. Unajua hakuna jibu zuri kwa -------- km kukaa kimya!
 
Eeh tena amesema ataweka MC kwenye hiyo shughuli
 
Yeye kasema chochote kitakachokupata umlaumu yeye, hapo hajatishia kukuua, sasa ukifa utamlaumu vipi? Nilichokiona kwako wewe huna ujasiri ni mwoga aiseee
 
Nimekua kwenye uhusiana na dada mmoja lkn juz kati niliamua kuachana nae ili kujitoa kwenyd mtandao. Sasa amekua ananitumia sms za vitisho na kunambia chochote kitakachonikuta nimlaum yeye. Wapenda nifanyaje?

Kwani ana bastola?
 
Back
Top Bottom