Anatembea na binti yake, nimethibitisha leo

Anatembea na binti yake, nimethibitisha leo

Huyo dingi ni Mze wa kichaga au? Nakuuliza hivyo kwani namfahamu Mze mmoja wa kichagga maeneo ya hapo.,
 
Mwenyezi mungu atustiri Na aibu Na Unyama huo...ptuuuuu!!!
 
Mleta uzi Ana maana nzuri sidhani kama alihitaji majibu ya utani
Amewapima DNA akathibitisha. !! UKAWA bana...acheni kukurupuka.

What if the girl was adopted?
 
Nyakati za mwisho ni nyakati kushangaza na kuogofya....ni nyakati ambazo matendo ya wanadamu hayaendani na ubinaadamu wao.......ni nyakati ambazo habari zinazohusu uumbaji wa MUNGU zinakuwa ni habari zenye kuchukiza masikioni mwa wanadamu......ni nyakati ambazo maneno ya muumba au habari muumba zinaitwa kelele.......ni nyakati ngumu sana kuishi............
 
Mbona mnamlaumu huyo mzee bila kuangalia na upande wa pili, kwamba huyo binti nae kanogewa mpaka anaona wivu... hahahahah

Ts obviously bint alishawishia so kwa haraka huwezi mlaumu mtoto,
Wa kulaumiwa ni huyo mtu mzima hovyo,
Hv hilo 'dudu' lake linaanzaje kusimama mbele ya mwanae na kumuingiza,

Eeeh Mungu tujaalie sisi na vizazi vyetu,
Aaamin.
 
Pia msidhani hao wameanzia ukubwani, la hasha,
Baba atakua alianza kumuingilia tangu mdogo hvy bint amekua anajua baba ndio mpnz wake, ndio kila kitu,
Ndio mana anafikia hatua ya kuongea au kuonesha hadharani pia anakua na wivu sana na baba ake,
Kiufupi binti ameshaharibiwa akili tangu utoton sasa kumtoa hapo inatakiwa nguvu ya Mungu ihusike

Kuna wengine marekani mama anamsaga binti yake na wameenda public, mama anadai tangu utoto amekua akimfanyia hvy mwanae na ana mume na mume ameukubali kbs uhusiano wa mkewe na mtoto wao,
Walikua wanamsubiri binti afike miaka 18 ili amuoe,
Nadhan washaoana sasa hv.
 
Nahakika mungu atakuwa ameilani hii familia hata vizazi vya watoto wao!

Ndipo hapo tunapokosea, kila siku nasema "tusidhani kuna watakatifu miongoni mwetu na wengine ni wadhambi". Sisi sote ni Binadamu na tutabaki kuwa wanadamu. Kikubwa tutiane moyo na kufarijiana ili atakaeanguka tumwinue.

"Bwana kama wewe ungalihesabu makosa ni nani angesimama? Lakini kwako Kuna msamaha ili wewe uogopwe. "
 
Pia msidhani hao wameanzia ukubwani, la hasha,
Baba atakua alianza kumuingilia tangu mdogo hvy bint amekua anajua baba ndio mpnz wake, ndio kila kitu,
Ndio mana anafikia hatua ya kuongea au kuonesha hadharani pia anakua na wivu sana na baba ake,
Kiufupi binti ameshaharibiwa akili tangu utoton sasa kumtoa hapo inatakiwa nguvu ya Mungu ihusike

Kuna wengine marekani mama anamsaga binti yake na wameenda public, mama anadai tangu utoto amekua akimfanyia hvy mwanae na ana mume na mume ameukubali kbs uhusiano wa mkewe na mtoto wao,
Walikua wanamsubiri binti afike miaka 18 ili amuoe,
Nadhan washaoana sasa hv.
Aiseeee ni ukatili mkubwa mno kwa huyo mtoto
 
Cha ajabu kipi kasome Mwanzo19:32-34 stori ya Lutu kuwamega mabinti zake au unaleta unafiki wa kilokole mkesha kumbe kuvunja amri ya sita
Hiyo mwanzo umesima pote au umekariri mstari soma pote ndo utaelewa ilikuaje hadi rutu akalala na wanae acha kukurupuka!
 
Amewapima DNA akathibitisha. !! UKAWA bana...acheni kukurupuka.

What if the girl was adopted?
Kuanzia Leo nakununia kuniita Ukawa imeniuma sana ina maana mim nyumbu,?
 
Back
Top Bottom