Anatembea na binti yake, nimethibitisha leo

Mwanaume hachagui jàmvi lakutapikia,mkojo ukizidi ndohayo sasa
 
Kuna mama mtu mzima alikuwa akiishi na mumewe kwa amani Tele. Mungu aliwajalia kuwa na familia yenye amani na yenye hofu ya Mungu. Walikuwa na watoto wanne mmoja wa kiume ambae ni kitinda mimba na wengine watatu wa kike.

Siku moja yule binti wa pili kuzaliwa aliwatoa "out" mama na dada zake. Walipofika alimwomba mama yake Samahani na kumweleza hana jinsi zaidi ya kusema ukweli ili awe na amani ndani ya nafsi. Akasema huko nyuma baba yake aliwahi "kumlaghai" kwa zawadi na pesa kiasi cha kufanya nae mapenzi.

Mama mtu alisononeka sana. Akiwa katika kusononeka wale mabinti wengine walisimulia kisa hicho hicho. Mama kurudi nyumbani kumuuliza mumewe, mumewe alikiri na kuomba msamaha. Mama wa kuondoka alishindwa akabaki kutumia moyoni.
 
Switi ndo namkuta mume wangu anamwingilia mtoto wetu, nitaenda jela

sasa kama mnazaa watoto ( mabinti ) wazuri hata kuwashinda nyie Mama zao halafu mnawavalisha vimini tokea utotoni huku mkiwaachia watusogelee Baba zao kwa kutukalia au kutulalia wakiwa na hivyo vimini vyao sebuleni wakati Mwanamume natizama tv unategemea nifanyeje kama siyo " kujipindua " tu kwake? dhambi zingine nyie wake zetu ndiyo mnatutafutia hivyo msitulaumu.
 
Hizi ni nyakati za mwisho,
Dunia haina mda mrefu itapigwa kiberiti,baba kuishi kinyumba na mwanae ndoa za jinsia moja kuingiliana kinyume na maumbile vyote kwa pamoja vinaivuta hukumu ya Mungu karibu,
Kama kuokoka bado changamka uokoke umpokee Yesu kwani ni majira ya jioni.
 
Ila Mungu mvumilivu saana.
Kweli mkuu angekuwa mwanadamu angeshaangamiza mda mrefu,

Wanawake wamejaa unaishi kinyumba na mwanao,
Mungu kaumba mbele watu wanataka nyuma sasa,
Unafikiri ingekuwa hasira ya mwanadamu unawaacha wa nini?

Wangeshapigwa kiberiti.
Kwani binadamu wamekuwa kama machizi
 
Wababa wengi uwaanza watoto wao kwa kuwadanganya na kuwahaminisha ni wao tu ndio wanaruhusa ya kuwatenda.

Sasa mtoto kashamzoea baba yake

Kwa kweli inatia kichefu chefu ila huyo mada akipata msaada atakuja tambua alirubuniwa na haikubidi iwe hivyo.

Na mazoea ndio kashayaweka mwisho wa siku kifo kitampata mkoja wao. Hasa mtoto ndio hatari wa kutenda baya
 
Switi ndo namkuta mume wangu anamwingilia mtoto wetu, nitaenda jela
Usiongee hivyo muombe Mungu akuepushe na balaa hilo nyumbani kwako usimlie yamini me yeyote ktk dunia hii, wachache sana wanauwezo wa kuushinda moyo
 
Kuna mama mtu mzima alikuwa akiishi na mumewe kwa amani Tele. Mungu aliwajalia kuwa na familia yenye amani na yenye hofu ya Mungu. Walikuwa na watoto wanne mmoja wa kiume ambae ni kitinda mimba na wengine watatu wa kike.

Siku moja yule binti wa pili kuzaliwa aliwatoa "out" mama na dada zake. Walipofika alimwomba mama yake Samahani na kumweleza hana jinsi zaidi ya kusema ukweli ili awe na amani ndani ya nafsi. Akasema huko nyuma baba yake aliwahi "kumlaghai" kwa zawadi na pesa kiasi cha kufanya nae mapenzi.

Mama mtu alisononeka sana. Akiwa katika kusononeka wale mabinti wengine walisimulia kisa hicho hicho. Mama kurudi nyumbani kumuuliza mumewe, mumewe alikiri na kuomba msamaha. Mama wa kuondoka alishindwa akabaki kutumia moyoni.
Nahakika mungu atakuwa ameilani hii familia hata vizazi vya watoto wao!
 
Mbona mnamlaumu huyo mzee bila kuangalia na upande wa pili, kwamba huyo binti nae kanogewa mpaka anaona wivu... hahahahah
Me wenye tabia hizo huwaanza watoto wakiwa bado wadogo sana nimeeleweka
 
sasa kama mnazaa watoto ( mabinti ) wazuri hata kuwashinda nyie Mama zao halafu mnawavalisha vimini tokea utotoni huku mkiwaachia watusogelee Baba zao kwa kutukalia au kutulalia wakiwa na hivyo vimini vyao sebuleni wakati Mwanamume natizama tv unategemea nifanyeje kama siyo " kujipindua " tu kwake? dhambi zingine nyie wake zetu ndiyo mnatutafutia hivyo msitulaumu.
Usimlaumu mwanamke kwa kesi kama hii matunzo ya watoto yanawahusu wote yaani baba na mama we bb unahaki ya kuhoji kuhusu mwenendo wa familia yako.
 
Mabibi na mabwana nawasalimu kwa jina LA Mungu Muumba mbingu na dunia. Km kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, huyu baba ana mke na watoto wa tano wa mama tofauti tofauti, mke wake wakwanza alifariki namfaham tumetoka kijiji kimoja huko Muheza, huko nyuma niliwahi kusikia anatoka na binti yake siku amini.

Km mwezi umepita nilifiwa na kaka binamu, nikaenda msibani na yy pia alikuja, mida ya jion tulitoka madada na makaka kunyoosha miguu kundi kubwa tu na yeye akiwapo, tulipita kilabuni tukaweka kituo hapo wapenzi wa mnaz, boa, bia waliagiza wakaanza kunywa na story za hapa na pale, me si mnywaji hivyo nilipewa kaz ya kubeba simu.

Wakati tuko pale mwanae alikuwa akimpigia sana simu, anatoka kidogo wanaongea anarudi, baadae tulirudi msibani, tukakuta mziki wa kwaya tukaanza kucheza na yeye akiwapo simu za watu nyingi nilikuwa nazo na yake pia mwanae akampigia tena nikampa wakati huo kishalewa, akamfokea kidogo akanirudishia ile simu, muda kidogo akaondoka kulala, nikabaki na simu yake Mara SMS ikaingia yule binti akimlaumu baba yake kwamba anamfokea bila sababu au nyupo na mwanamke mwingine? Nilishangaa nikapotezea tu, ilikuwa hainiingii akilini, nikafikiri labda kamsevu huyu mchepuko kwa jina na mwanae ili akipiga km yupo na mkewe isiwe tabu.

Kubwa kuliko sasa Leo asubuhi alinipigia nikachukue mzigo Fulani hiv, akanambia alipo nikamfuata, kufika nikamkuta Yupo na binti yake, tukasalisamiliana Hapo, sasa huo mkao binti aloukaa mbele ya babake, na hayo mavazi aliyovaa niliduwaaa, kilichonishangaza zaidi alikuja kijana mmoja akaambiwa aindoke na binti, binti sijui alikuwa hataki bwana weee!!, binti alianza kuongea km kafungiwa mota mdomoni, baba waniambia niondoke wakati safari yetu bado haijaisha, siku hizi umekuwaje lkn?? Km una mwanamke mwingine unambie, nadhani walikuwa wamepishana kabla hata kufika pale, babake aliona aibu sanaa binti karopa vitu mbele ya wageni me na yule kaka alokuja kumchukua, tulivyoona hali si hali tukaondoka, sasa tulipotoka nnje nikamuuliza yule kijana akanipa mkanda wote kwamba pale ni MTU na mpenzi wake na huyo kaka ndo dereva wake japo alikuwa hajui km ni baba na mwana me ndo nilimwambia na Mara nyingi ndo anamchukuaga.

Kwakweli imeniuma sana hiv wanawake wameisha hadi ulale na binti yako??? Aiseeee!! Sitasahau tukio LA leo
Hapana huyo si mwanangu wa damu nimelea tangu mdogo nilimuoa akiwa na miaka 13, nikua namdai baba yake ambae ni marehemu sasa. Sio vizuri kuleta haya mambo humu, umezidi umbea mno
 
Wapo wengi tu,wanaokula kuku na mayai yake. Nadhani huu uzungu nao umezidi,baba na bintiye kwenda beach!
 
Mabibi na mabwana nawasalimu kwa jina LA Mungu Muumba mbingu na dunia. Km kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, huyu baba ana mke na watoto wa tano wa mama tofauti tofauti, mke wake wakwanza alifariki namfaham tumetoka kijiji kimoja huko Muheza, huko nyuma niliwahi kusikia anatoka na binti yake siku amini.

Km mwezi umepita nilifiwa na kaka binamu, nikaenda msibani na yy pia alikuja, mida ya jion tulitoka madada na makaka kunyoosha miguu kundi kubwa tu na yeye akiwapo, tulipita kilabuni tukaweka kituo hapo wapenzi wa mnaz, boa, bia waliagiza wakaanza kunywa na story za hapa na pale, me si mnywaji hivyo nilipewa kaz ya kubeba simu.

Wakati tuko pale mwanae alikuwa akimpigia sana simu, anatoka kidogo wanaongea anarudi, baadae tulirudi msibani, tukakuta mziki wa kwaya tukaanza kucheza na yeye akiwapo simu za watu nyingi nilikuwa nazo na yake pia mwanae akampigia tena nikampa wakati huo kishalewa, akamfokea kidogo akanirudishia ile simu, muda kidogo akaondoka kulala, nikabaki na simu yake Mara SMS ikaingia yule binti akimlaumu baba yake kwamba anamfokea bila sababu au nyupo na mwanamke mwingine? Nilishangaa nikapotezea tu, ilikuwa hainiingii akilini, nikafikiri labda kamsevu huyu mchepuko kwa jina na mwanae ili akipiga km yupo na mkewe isiwe tabu.

Kubwa kuliko sasa Leo asubuhi alinipigia nikachukue mzigo Fulani hiv, akanambia alipo nikamfuata, kufika nikamkuta Yupo na binti yake, tukasalisamiliana Hapo, sasa huo mkao binti aloukaa mbele ya babake, na hayo mavazi aliyovaa niliduwaaa, kilichonishangaza zaidi alikuja kijana mmoja akaambiwa aindoke na binti, binti sijui alikuwa hataki bwana weee!!, binti alianza kuongea km kafungiwa mota mdomoni, baba waniambia niondoke wakati safari yetu bado haijaisha, siku hizi umekuwaje lkn?? Km una mwanamke mwingine unambie, nadhani walikuwa wamepishana kabla hata kufika pale, babake aliona aibu sanaa binti karopa vitu mbele ya wageni me na yule kaka alokuja kumchukua, tulivyoona hali si hali tukaondoka, sasa tulipotoka nnje nikamuuliza yule kijana akanipa mkanda wote kwamba pale ni MTU na mpenzi wake na huyo kaka ndo dereva wake japo alikuwa hajui km ni baba na mwana me ndo nilimwambia na Mara nyingi ndo anamchukuaga.

Kwakweli imeniuma sana hiv wanawake wameisha hadi ulale na binti yako??? Aiseeee!! Sitasahau tukio LA leo
Cha ajabu kipi kasome Mwanzo19:32-34 stori ya Lutu kuwamega mabinti zake au unaleta unafiki wa kilokole mkesha kumbe kuvunja amri ya sita
 
Back
Top Bottom