Anataka tu date to ila tusioane

Anataka tu date to ila tusioane

Ndugu huyo hakufai tafuta mwanamke mwengine mapema. mbona wapo wengi tu. Mwanamke akishakuruhusu uoe basi ujue huna chako hapo, wajanja wengine wanagegeda
 
dini inausika kwa ajili ya watoto watasumbuka wafuate wapi sasa kuepusha chuki kata ya familia zote mbili ni vzr mkaachana tuuuuuuuuuuu kuliko yatakayo jiliiiiiiiii......
 
Jamani wana jf naombeni ushauri wenu mimi nina mpenzi wangu tuko kwenye uhusiano mwaka sasa.Mimi na yeye dini tofauti mimi mwislamu yeye mkristo tatizo amekataa kubadili dini kua mwislam ili tufunge ndoa.Ila amesema yeye hayuko tayari tuachane kwahiyo anadai tuendelee ku date kama kawaida kwani amesha nizoea na ananipenda sana na mi sasa hivi nina mpango wa kuoa kwani nataka kujenga familia na amedai hata kama nikioa mwanamke mwingine ila bado tutaendelea na uhusiano wetu kusema ukweli bado nampenda sana na ananifaa sana katika maisha nifanye nini wana jamvini

Mambo ya dini na imani kwenye mapenzi huleta migogoro sana. Naona kama wote wawili hamko tayari kubadilisha imani zenu ili mfunge ndoa, inanipa kuamini kuwa pia kuwa hata huo upendo wenu bado ni usanii mtupu. Kwa sasa ili msijilazimishe kuingia kwenye matatizo, nakushauri tafuta wa dini yako mkafunge ndoa na huyu ambaye si wa imani yako mpotezee. With time naye kaipata muda atakusahau na kila mtu ataanzisha familia yake kwa wakati wake.
 
"yeye hayuko tayari tuachane kwahiyo anadai tuendelee ku date kama kawaida kwani amesha nizoea na ananipenda sana ".
Hayo ni maneno ya kukuliwaza tu mkuu.Huyo alishapata mwingine.Kwani tangu mnaanza ku date hajajua mna dini tofauti?Kwa ushauri wangu embu jaribu kama kumwambia nimekubali kubadili dini umwone atakavyojikanyaga.Akikubali jua kweli ana nia ya kuwa mkeo then mbembeleze mkafunge ndoa serikalini.
 
Wewe small house unazo ngapi? Mdanganye tu mwenzio. Mwenyewe unamwona kabisa kama amezubaa design fulani, ni rahisi sana mtu kama huyu kushikiwa akili!

ofa ya small house hiyo kaka wala usiiteme...unakiwa unapiga mechi za ugenini mara moja moja
 
labda anaogopa mashwetwani mani la secondary kua zakayo tomaso daud achana na wa kina swalim juma
 
Unajichanganya bure sijui kwanini kama haiwezekani sibasi tafuta anaewezekana,au unataka uambiwe hakuna neno unaweza kubadili wewe au kila mmoja mkae Lakum din kumwalia din..... ebu fanya maamuzi kama mwanamme....
 
Kwani ndoa mseto siku hizi hakuna? Fungeni ndoa ya kiserikali!! Kwani lile gamba la makanisani si ni hilo hilo la serikali? Sema pale kwenye option ya wake wengie kikristo na hawataki (wanafuta kabisa) maana kwao si swali la kuulizwa.
 
Ndo mana mi siruhusugi kbs kusaundishwa na he asokuwa mkristo kuavoid haya macomplication

Dini ni sensitive matter n u better respect it coz can become the source of blessing or misunderstanding in a family



Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Wewe small house unazo ngapi? Mdanganye tu mwenzio. Mwenyewe unamwona kabisa kama amezubaa design fulani, ni rahisi sana mtu kama huyu kushikiwa akili!

mie sipendi small house bwana...they are an expense...would rather stick to one nyt stands
 
Pole. Hayo ndo mapenzi. Kama mngejua mapema mngefikiria kwanza hilo suala la dini. Lakini nataka kukueleza kuwa dini isiwe kikwazo cha ninyi kuharibu penzi lenu. Kama kweli mnapendana fanyeni utaratibu mfunge ndoa hata kama ni ya serikali alafu mtasawazisha masuala ya dini baadaye. Nahofia sana wewe kuoa mwanamke mwingine na kuendelea kudate na huyo mpenzi wako wa sasa. Utakuwa humfanyii fair mkeo. Usioe mpaka mmemalizana na huyo mpenzi wako. Either unamuoa yeye au Muachane ndo uoe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom