Anataka tu date to ila tusioane

Mlati

JF-Expert Member
Dec 29, 2012
207
60
Jamani wana jf naombeni ushauri wenu mimi nina mpenzi wangu tuko kwenye uhusiano mwaka sasa.Mimi na yeye dini tofauti mimi mwislamu yeye mkristo tatizo amekataa kubadili dini kua mwislam ili tufunge ndoa.Ila amesema yeye hayuko tayari tuachane kwahiyo anadai tuendelee ku date kama kawaida kwani amesha nizoea na ananipenda sana na mi sasa hivi nina mpango wa kuoa kwani nataka kujenga familia na amedai hata kama nikioa mwanamke mwingine ila bado tutaendelea na uhusiano wetu kusema ukweli bado nampenda sana na ananifaa sana katika maisha nifanye nini wana jamvini
 
Kama kweli unampenda badili wewe dini kitendo cha kumwambia mwenzako abadili dini wakati wewe hutaki ni cha ubinafsi na sidhani kama kweli mnapendana kama unavyotaka kutuaminisha kwenye mapenzi ya kweli dini ni kikwazo kidogo sana
 
Kwa nini wewe usibadili dini na ukafungaa nae ndoa maana umesema unampendaa sana na anakufaa katika maisha.
 
Sio kila mtu mwenye matiti ni mwanamke. Kuna wasichana wakubwa ndugu yangu, hilo ni lazima kulitambua na kuendelea na maisha.
 
Anakuafaa kimaisha kivipi? Anakulipia kodi ya nyumba? Manake vijana wa siku hizi mi siwaelewi. Tuanzie hapo.
 
Kama kweli unampenda badili wewe dini kitendo cha kumwambia mwenzako abadili dini wakati wewe hutaki ni cha ubinafsi na sidhani kama kweli mnapendana kama unavyotaka kutuaminisha kwenye mapenzi ya kweli dini ni kikwazo kidogo sana
ni kweli lakini siku zote mwanamke anatakiwa amfuate mwanaume
 
Tatizo watu mnapenda complication zisizo na maana. Kwani ukimuoa ndoa ya kiserikali haitakuwa ndoa?... Kila mtu anabaki na dini yake...
 
Anakuafaa kimaisha kivipi? Anakulipia kodi ya nyumba? Manake vijana wa siku hizi mi siwaelewi. Tuanzie hapo.
kutokana na tabia zake upendo wake juu yangu ananifaa kabisa ila tatizo ndio hilo tu
 
Hapo kwenye red, mwenye shida sana ndio anamfuata mwenzie
, jipimeni.
nafikiri ni hivi mwanamke wa kiislam yeye hana dini kuna surat na aya fulani inasema hvyo nilisomaga zaaamaaaan sana nikikumbuka ntaileta hapa lkn mwanamkw wa kikristo hiyo kitu haipo..mwanamke ni full dini...
 
mlete kwangu cku moja tu hatatamani kukuona tena na atakuruhusu uoe demu mwingine
 
Jitolee kubadili dini la hasha basi fungeni ndoa ya kiserikali.. Tatizo watoto watafata dini ipi?
 
Jamani wana jf naombeni ushauri wenu mimi nina mpenzi wangu tuko kwenye uhusiano mwaka sasa.Mimi na yeye dini tofauti mimi mwislamu yeye mkristo tatizo amekataa kubadili dini kua mwislam ili tufunge ndoa.Ila amesema yeye hayuko tayari tuachane kwahiyo anadai tuendelee ku date kama kawaida kwani amesha nizoea na ananipenda sana na mi sasa hivi nina mpango wa kuoa kwani nataka kujenga familia na amedai hata kama nikioa mwanamke mwingine ila bado tutaendelea na uhusiano wetu kusema ukweli bado nampenda sana na ananifaa sana katika maisha nifanye nini wana jamvini

hapo penye red...huyo dada hana nia ya kuendelea na mahusiano na wewe na hapo anatumia lugha ya kidpromasia ya mapenzi ili asikuumize. in fact anataka ukishaoa tu basi anajiondoa taratibu na kukuacha wewe na mkeo!
 
Jamani wana jf naombeni ushauri wenu mimi nina mpenzi wangu tuko kwenye uhusiano mwaka sasa.Mimi na yeye dini tofauti mimi mwislamu yeye mkristo tatizo amekataa kubadili dini kua mwislam ili tufunge ndoa.Ila amesema yeye hayuko tayari tuachane kwahiyo anadai tuendelee ku date kama kawaida kwani amesha nizoea na ananipenda sana na mi sasa hivi nina mpango wa kuoa kwani nataka kujenga familia na amedai hata kama nikioa mwanamke mwingine ila bado tutaendelea na uhusiano wetu kusema ukweli bado nampenda sana na ananifaa sana katika maisha nifanye nini wana jamvini
Mapenzi Hayana dini.nendeni mahakamani .kwa nini wewe usiwe mkristo?
 
Jamani wana jf naombeni ushauri wenu mimi nina mpenzi wangu tuko kwenye uhusiano mwaka sasa.Mimi na yeye dini tofauti mimi mwislamu yeye mkristo tatizo amekataa kubadili dini kua mwislam ili tufunge ndoa.Ila amesema yeye hayuko tayari tuachane kwahiyo anadai tuendelee ku date kama kawaida kwani amesha nizoea na ananipenda sana na mi sasa hivi nina mpango wa kuoa kwani nataka kujenga familia na amedai hata kama nikioa mwanamke mwingine ila bado tutaendelea na uhusiano wetu kusema ukweli bado nampenda sana na ananifaa sana katika maisha nifanye nini wana jamvini

ofa ya small house hiyo kaka wala usiiteme...unakiwa unapiga mechi za ugenini mara moja moja
 
Back
Top Bottom