Anataka to do kabla ya ndoa.

lazima waonjane kabla ya ndoa
ya nini kununua mbuzi ndani ya gunia

isije kuwa huyo kijana hapandi milima ya wilolesi.
 
Huyo dem kishamzunguka jamaa na si ajabu amenasa. Analazimisha kudo ili ambebeshe jizigo huyo freind wako. Awe na msimamo. Asikubali na karibu atajionea mwenyewe.

Akikubali tu..................... KAUMIA ...................!!!!!!!!!!!!
 
Ni bora binti agome ku do kabla ya ndoa na c mwanaume.. Huyo jamaa atakua anatatizo kubwa.!!
 
hao ni walokole jina tu.............ukiona anatafuta ushauri kumkshifu Mwenyezi Mungu huyo hamjui Mumba na muumba hana jina lake kwenye kitabu cha wazima.............wote hao wawili ni wafu na wafu waachwe wakawazike wafu wenzao..........
 
Shake well before use! Juzi tu mmeambiwa na watafiti wenu majority ya Wa kiume ni wagumba unataka mdada akachukue mashine ya kichina!
 
Namuunga mkono bibie bora atest zale acjekuna na mtalimbo maisha ya ndoa yakamshinda bure!reheso muhimu kabla ya pafomansi ebo!kwann huyo jamaa anagoma ana lake jambo huyo!
 
Ni bora binti agome ku do kabla ya ndoa na c mwanaume.. Huyo jamaa atakua anatatizo kubwa.!!

Ni maadili ya kiimani...
Lile tendo ni sacred,hata katika maadili ya kiafrika,wachumba huruhusiwa kuonana under supervision...
Ni mmomonyoko wa maadili tu ndiyo unatufanya tuone ni vitu vya ajabu kusubiria ndoa..
 
Kuna harufu ya jambo lilofichika hapo. Aendelee kusubiri litafichuka tu!
 
Namuunga mkono bibie bora atest zale acjekuna na mtalimbo maisha ya ndoa yakamshinda bure!reheso muhimu kabla ya pafomansi ebo!kwann huyo jamaa anagoma ana lake jambo huyo!

Atawajaribu wangapi iwapo atakuta mushkeli?
 
kwanza hiyo ndoa yenyewe imepangwa mbali kiasi gani?

afu kikweli jamaa inabidi apige nundu tu... akumbuke tu kutazama kushoto na kulia kabla ya kuvuka barabara.
 
Huyo dem kishamzunguka jamaa na si ajabu amenasa. Analazimisha kudo ili ambebeshe jizigo huyo freind wako. Awe na msimamo. Asikubali na karibu atajionea mwenyewe.

Akikubali tu..................... KAUMIA ...................!!!!!!!!!!!!

si wanaweza kutumia na kinga, ambayo ni ngumu jamaa kutema ndani
 
tumebakia wachache sana duniani ambao tunaoana bila kugusana kabla ya ndoa
 
kuna mdau kasema dhambi ambayo haitosamehewa ni kumkufuru roho wa mungu. Sasa mkuu una ushahidi hawa aliomba gemu kwa adamu?
 
Huyo dem kishamzunguka jamaa na si ajabu amenasa. Analazimisha kudo ili ambebeshe jizigo huyo freind wako. Awe na msimamo. Asikubali na karibu atajionea mwenyewe.

Akikubali tu..................... KAUMIA ...................!!!!!!!!!!!!

Simple.
1. Pimeni afya zenu kama ziko safi.
2. Chukua kipimo cha mimba, kinanunuliwa 1,000/= tu halafu mwambie tupime mimba kwanza, akojoe mble yako, chukua mokojo pima kama hana mimba.
3. kama kila kitu kiko ok, mpe haki yake, mnaoana si kwa sababu ni walokole, ila kwa sababu mna viungo vya uzazi, na kuvitumia ndo ndoa yenyewe.

labda kama unazungumzia harusi, hii ndo inakusanya hadhara lakini ndoa huwa ni siri ya wawili, Mungu shuhuda pekee, labda na shetani
 
kataa kabisa aking'ang'ania muunganishie Hagga yeye ata do badala yake, ili tu kumuepusha rafikio na dhambi.
 
Hii ni mbinu tuu ya huyo dada kutaka harusi iwe haraka....Ameshamsoma mshikaji kuwa hawezi kugonga mpaka aoe. Mwambie mshikaji wako amsugulie tuu. Kama dada anampenda kikwelli atavumilia mpaka mshikaji awe tayari.Kama simkweli arobaini zake zitafika tuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…