Anataka niichape ila shida Location

Anataka niichape ila shida Location

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,195
Huku kukaa na mke huku kunatoa utamu sana aiseee, kuna hii pisi pilu kabisa nimeipata hapa kiwandani kwangu,

Kashapangika kabisa aisee ila shida ipo kwenye location ya kwenda kuchakatiana. Sina gheto ngoma lazima iende Lodge, kila nikitazama gharama mpaka kumaliza mchezo nahisi itapotea si chini ya 50K,

Ngoma ngumu kweli kweli, 50K kwa siku ni kipande kikubwa sana kwa sisi wamiliki wa viwanda. Ni mtaji wa siku kabisa huo. Kila nikitazama pande sina option ila acha nitulize kichwa popote akizama italiwa tu.

Cc Zero IQ.
 
Huku kukaa na mke huku kunatoa utamu sana aiseee,kuna hii pisi pilu kabisa nimeipata hapa kiwandani kwangu,

Kashapangika kabisa aisee ila shida ipo kwenye location ya kwenda kuchakatiana,
Sina gheto ngoma lazima iende Lodge, kila nikitazama gharama mpaka kumaliza mchezo nahisi itapotea si chini ya 50K,

Ngoma ngumu kweli kweli, 50K kwa siku ni kipande kikubwa sana kwa sisi wamiliki wa viwanda,
Ni mtaji wa siku kabisa huo.

Kila nikitazama pande sina option ila acha nitulize kichwa popote akizama italiwa tu.

Cc Zero IQ.
Ha ha ha ha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom