And that's the spiritI'm proud of you Bros before hoes![]()

Kaah
Aziniye na mwanamke hana akili kabisa, Zero IQ acha uzwazwa.Huku kukaa na mke huku kunatoa utamu sana aiseee, kuna hii pisi pilu kabisa nimeipata hapa kiwandani kwangu,
Kashapangika kabisa aisee ila shida ipo kwenye location ya kwenda kuchakatiana. Sina gheto ngoma lazima iende Lodge, kila nikitazama gharama mpaka kumaliza mchezo nahisi itapotea si chini ya 50K,
Ngoma ngumu kweli kweli, 50K kwa siku ni kipande kikubwa sana kwa sisi wamiliki wa viwanda. Ni mtaji wa siku kabisa huo. Kila nikitazama pande sina option ila acha nitulize kichwa popote akizama italiwa tu.
Cc Zero IQ.
Mvutie hata ofisini tu kwani vipi??Huku kukaa na mke huku kunatoa utamu sana aiseee, kuna hii pisi pilu kabisa nimeipata hapa kiwandani kwangu,